Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Huawei mobile hiii ya Donald trumpet[emoji448]tecno uongo tumia ata samsung wewe na kuna na ndugu zake tecno wana fanya poa kuliko tecno.. huawei,oppo na infinix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huawei mobile hiii ya Donald trumpet[emoji448]tecno uongo tumia ata samsung wewe na kuna na ndugu zake tecno wana fanya poa kuliko tecno.. huawei,oppo na infinix
Ni kama ukipitia nyuzi za toyota users kuhusu european cars, ni wana makasiliko sana. Alafu wenye na BMW, BENZI, VW, AUDI NA RANGE wapo kimyaa sioni wakifungua nyuzi kuhusu toyota. Nimejifunza kitu sisi waswahili tunawivu sana. Na hapa sijaona IOS users wakiangaika na kifungua nyuzi humu.Kwa nini hizi nyuzi za kulalama juu ya maamzi ya matumizi ya simu huwa yanaanzishwa na android user na sijawahi kuona iOS user wanalalama juu ya android user😀.
Kuna shida mahali na watumiaji wa android sio bure, na shida yenyewe ni "Inferiority complex",.
Hili jambo la simu ni sawa na mke, unakuwa nae wako black lakini unamezea mate cheupe au uane flat screen unamezea mate mwenye chogo🙂. Acheni watu watumie vile wanavyotaka hata kama wamekopa kikubwa roho zao zimerizika wewe endelea kutumia hiyo tecno ili uonekane una pesa ila hupendi kujionesha auhupendi anasa lakini ukweli unao mwenyewe.
Na bado siku hizi kuna kila aina ya cloud storagematumizi ya micro card ni yapi?
Umetengenezewa simu ina storage 500GB una pc ina 500GB una external ina 1TB hizo zote unatafuta micro card ya nini? maonesho? Kuwa serious na vitu unavyojadili
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna simu hata za laki kwa wenye bajeti finyu ila pia kuna simu za gharama kuliko hata iPhone kwa wanaojiweza kiuchumi. Hata hivyo bado wapo wasiojiweza kiuchumi wanaolazimisha kununua i phones, kundi hili hununua simu hizi kwa lengo la kufeki maisha waonekane wapo vizuri kimaisha.
3. Hakuna tundu la kuingiza earphone hizi zilizozoeleka za pini, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phone unaitumia hapo hapo
3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.
4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito
5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.
6. Apps kibao zipo android kuliko iphone
7. Unaweza ku root android ukabadili hata os na kuipiga sarakasi simu kadri utakavyopenda , Kwa iphone kuna zoezi la jail break, hapa utaweza tu kufanya baadhi ya vitu ambavyo android vinawezekana tayari hata bila kufanya rooting kama kubadili mwandiko, kuseti ringtone iwe muziki anaotaka, n.k Jail break ni kama mtu aliyefungwa kitambaa machoni kutolewa kitambaa ili aone, rooting ya android ni kama kupewa darubini
8. Hutaweza kusikiliza radio bila bando, kama upo vijijini sehem isiyo na internet fanya utaratibu wa kununua radio.
9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.
10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe
11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.
12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni
13. andoid kuna feauture ya multiple user account, simu inakuwa kama facebook, kila moja ana user name yake na password, naweza kumuazima mtu simu akaitumia bila kujua taarifa zangu na akiniruduishia basi na login kwenye user yangu.
14. Battery kwa iphone ni tatizo, wenzangu wenye i phones wanajiteteaga i phone sio simu ya kutumia tumia kila muda basi naishia kucheka tu napoona wanatembea na power benki simu zao zinapokata moto.
15. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv
16.Watu wengi huwa wanadhani iPhone ndio kinara kwenye kamera, hili si kweli, Kuna simu kibao tu kama xiaoni, google, oneplus 8 zina kamera nzuri zaidi kuliko iPhone yoyote
Wewe mahitaji yako yakiwa ni finyu, lazima uridhike na iPhone yenye features chache, Mimi mahitaji yangu yakiwa mapana, mwenye Iphone huwezi kunielewa nikitaka simu yenye features nyingi
Mapungufu ni mengi ila wacha niishie hapa
Mkuu. Naomba kukurekebisha kwa mambo machache na uchache huu ukawe mwingi kwako. Natumai kama ni mtu wa kujifunza utapata somo kubwa sana. Tambua kwamba kabla iphone hajaingia sokoni kulikua na makampuni tycoon ambao pia walikua sokoni na walikua wanafanya vizuri na bei zao zilikua sio za kitoto. Naomba nikujibu point zako moja baada ya nyingine kama ifuatavyo
1)Kusema iphone ni gharama naomba nikupinge kwa ukali sana. Kwenye sim unatakiwa ujue kuna matabaka ama niseme grades. Kuna Flagship, kuna midrange na budget smartphone. Zunguka dunia nzima ni ngumu sana kukuta Flagship inauzwa hizo bei unazosema za laki nakitu.
Tizama kielelzo cha picha hapa chini
View attachment 1634975
View attachment 1634976
Ukitazama hapo ni iPhone 11Pro Max ya mwaka 2019 na samsung s20Ultra ya mwaka huo huo. Ukitazama kwa UK sim hizo zinauzwa bei sawa kabisa, ukija Marekani, Samsung ni ghali zaidi, ukirudi india sim hio iPhone inauzwa ghali zaidi ya samsung.
Hii inatokana na facts na variable nyingi sana ila trend ni hio. Tizama sim nyingi sana za Android huwa Ghali mwanzo ila miezi baadae zinapungua value pakubwa sana, kinachokufanya uone iphone ni ghali ni sababu market value yake inabaki juu kwa muda mrefu. Mtu mwenye laki nne ni ngumu kumuelewesha kwamba iphone 7/7Plus simu iliotoka mwaka 2016 mpaka leo bado hawezi ipata mpya kwa bei hio atasema ni expensive.
2) Ni ajabu sana mpaka mwaka 2020 bado unashangaa kutokua na tundu la earphone. Hili swala walilalama sana watu 2016 na leo hii ndo trend. Kila sim inayojielewa inaelekea huko.
View attachment 1634985
Hii ni Samsung Galaxy Note 20 ultra. Nioneshe tundu la headphone hapo. Japo wameweza kuweka tundu lote hilo kubwa la S-Pen ila wameignore kabisa earphone. Kubali ukatae hio ni technologia inayokufa taratibu.
3) Mkuu tatizo tupo dunia ya tatu ndo maana unapata tabu kidogo kuelewa na unahisi kwamba kuna tatizo mahala. Kumbuka iphone yuko many steps ahead. Dunia saivi inaelekea kwenye virtual /E-Sim. Inaachana kabisa na mambo ya physical sim. Kama umeona kwanzia iphone Xs- latest zinakua na dual sim. Sasa ziko za dual physical sim ambazo ni HK version na ziko ambazo dual sim yake ni E-Sim (Electronic Sim)
View attachment 1634996
Hii huhitaji kuwa na line. Kwa wenzetu unaenda Kampuni yako ya mtandao wanakupa QR code unascan unapata line ndani ya sim yako. Tanzania tutafika huku ila sijui lini. TCRA walitazame hili.
4) Kumbuka kwamba kuna kitu kinaitwa loyalty. Kwako wewe mtumiaji unaweza ona umebanwa kudownload miziki ila kumbuka illegal download ni kosa kisheria na unaweza fungwa. Lakini pia kwa wasanii hii inawasaidia wao kuboost digital sales zao. Hii ni mbinu ambayo tunakoelekea itakua implemented in most platforms. Imagine wewe kama unauza duka la mangi tuseme (alafu kuna namna 50% ya watu wanaweza kuchukua bidhaa zako bila wewe kunufaika, hio imekaa vipi?)
5)sijaelewa unaamanisha nini kusema shughuli pevu. Nadhani swala la security basi kwako ni dogo sana. Unafahamu kwamba sim nyingi za Android kwa kuwa na option ya Debugging mode, mtu anaweza tengeneza sim virtual kwenye computer alafu akachukua sim yako na akaipaste kila kitu kwenye computer hio virtual na kuwa na uwezo wa kuona kila kilichopo kwenye sim yako. Je hicho ndicho unachotaka? Mimi nimetumia iphone tangu mwaka 2007 na android pia nimetumia. Sijawai ona hio shughuli pevu unayoisema wewe labda unieleweshe.
6)Naomba nikusahihishe hapa. Na nikutume ukafanye tena research. Ichi unachozungumzia kilikua kweli 2016 kurudi nyuma. Sasaivi tizama kampuni nyingi kubwa za apps, kuna hata tweaks au niseme vionjo ambavyo vinawekwa kwenye iphones tuu. Kuna apps ambazo huanza na kuingia kwenye iphones kwanza kabla ya android “mfano hai games kama Fortunite” pia application kama instagram na whatsapp na snapchat zinafanya vizuri sana kwenye iphone sababu kila iphone inapata a tailor made app. Mfano mwaka huu 2020 zimetoka iphone nne zenye ukubwa tofauti wa screen iphone seii, iphone 12mini, iphone 12/12pro na iphone 12Pro Max, ni rahisi kwa izi application kutengenezea kila sim application iliokua edited special for hio sim. Ila kwa android sababu ni soko zima la sim zaidi ya 500 tofauti tofauti basi inatengenezwa one app fits all ndo unaona kunakua na mvutano wa picha na video.
7) SECURITY IS KEY FEATURE KWENYE SIM NDO MAANA NILIKUAMBIA MWANZO WEWE KUA NA UWEZO WA KUGARAGAZA SIM YAKO KUMBUKA UNAWAPA UWEZO HUO HUO WATU WASIO NA NIA NZURI NA WEWE
8)nataka uchukue samsung Flagship yeyote ya latest toka 2018-2020 alafu sikiliza nayo offline radio alafu njoo tena hapa leta argument. Again iphone wapo mbele technological. Vitu wanavotoa na kuviacha wengine hufuata muda mfupi badae.
9)Mkuu naanza kuamini kwamba kuna uwezekano hii kitu umecopy paste mahala ukabadili lugha na hii ilikua post ya 2016 kurudi nyuma.
View attachment 1635005
Hii ni Note 20Ultra. Kubadili battery kwenye hii sim ni mtihani and so is many Androids. By standards iphone ni moja kati ya sim rahisi sana kubadili battery tofauti na hizo android zako.
Kwenye swala la storage na kuback up sim kwenye memory card, nikurudishe tena SECURITY
10) Kama kitu hujui sema sijui, ukiskia mtu kasema kitu flani hakiwezekani embu fanya research kwanza kuliko wewe nawe kuruka kwamba haiwezekani.
View attachment 1635006
Hii ni sim yangu na utaona nina Ringtone ya Ratvanny naogopa. Sasa wewe sijui uliona wapi kwamba haiwezekani.
11) Again technology inapoenda taa zinatoka. Na kuna option kwenye iphone ya kuset flash light ikuallert.
12)Tena narudia kama hujacopy paste hii kitu kutoka mwaka 2016 basi hujawai tumia iphone ama hujafanya research. Default apps unaweka vizuri tuu.
View attachment 1635014
Email zangu zote nafungua kwa Gmail app, Safari ndo Default browser nilioweka. Kuweza kuset hivi nenda settings alafu app unayotaka mfano Google Chrome alafu utapata option ya make this Default browser.
13) SECURITY. Kasome kuhusu uwezo wa ADB na SDK alafu hutathubutu tena kulog in kizembe zembe kwenye sim za watu.
14)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao wenzako wanatumia iphone gani boss? Na hizo Powerbank wanatembea na powerbank gani? Naomba nikupe mfano, mtu mwenye iphone 11Pro Max anauwezo wa kukaa na chaji kwenye sim yake kwanzia saa moja asubuhi mpaka saa tisa mchana. Thats a fact. Iphone huonekana ina battery ndogo ila hakuna sim yenye optimization kama iphone, ukizingatia na kuwa na ABionic Chips basi hii inawapa mileage kubwa zaidi tofauti na sim ambazo zinatumia 3rd part chipsets.
View attachment 1635022
Utaona hapo tofauti ya iphone na zingine ni ndogo sana and by 2020 standards, still promising.
15)ECO SYSTEM MKUU ndo maana unaona hata kwenye sim tu skuizi app zinataka ubaki kwneye app zao. Unafungua link inafunguka in app built browser kukuweka built in. And thats what apple is doing. Ndo maana as a company wanazidi kua successful.
16)Hili linaweza kuwa na ukweli kwa asilimia kadhaa but as research shows, video zinazochukuliwa kwenye iphone zinakua more stable na vivid kuliko on anyother smartphone. Nikutume ukaangalie iphone big event wakati wanazindua hizi 12lineup utaona jinsi gani wamechange game la camera kwenye sim.
Nimechukua muda kidogo kukuandalia makala hii natumai utaisoma kwa upana na utaelewa sana.
0786371107 kama kuna ziada.
Kazi ipo, hio iphone ipi ulikuwa unatumia.Umemaliza nipo kwa iphone kwa zaid ya miaka 15 now i have xs max soon naenda kwa 12pro najua uwezo wake..
Haya mabanzi uliyompa sahivi anaugulia huko bandani kwake.Mkuu. Naomba kukurekebisha kwa mambo machache na uchache huu ukawe mwingi kwako. Natumai kama ni mtu wa kujifunza utapata somo kubwa sana. Tambua kwamba kabla iphone hajaingia sokoni kulikua na makampuni tycoon ambao pia walikua sokoni na walikua wanafanya vizuri na bei zao zilikua sio za kitoto. Naomba nikujibu point zako moja baada ya nyingine kama ifuatavyo

Umemaliza nipo kwa iphone kwa zaid ya miaka 15 now i have xs max soon naenda kwa 12pro najua uwezo wake..
Na makumpuni mengi ya simu yanamuiga apple kafanya nini ndipo nayo yatoe matoleo mapya.Mimi situmii iphone na sina mpango wa kununua hiz simu kama nipo ndani ya nchi mfano wa Tanzania au nchi maskini zaidi ya Tanzania, lakini iphone ni moja ya simu zenye features zinazotakiwa kwa dunia5ya Leo.
Tunachoashindwa kujua ni kwamba Dunia hipo mbali sana kiteknolojia na internet ndiyo kila kitu ndiyo maana iphone wanahitaji internet connections hata kama radio, wenzetu nchi za mbele internet siyo tatizo .
Kwa maandaleo ya technology sasa vitu kama earphone za pin/wire, memory card, slot za kuweka sim kadi zaidi ya moja kwenye simu, mambo haya yanafikia mwisho zimebaki nchi ambazo hazijapiga hatua kiteknolojia.
Nina mengi ila muda unanibana kuandika, lakin iphone ni simu ambazo wewe na Mimi tulio ktk maandaleo finyu ya technology siyo walengwa rasmi.
Tambua features za iphone ndizo zinazo takiwa kwa Dunia ya Leo, hasa ukizingatia uharifu sasa unahamia ktk mitandao.
Kwa nchi ambazo hazijapiga hatua kiteknolojia simu kama Samsung, nokia ndiyo type yetu kwa wale wapenda simu za cheap simu kama techno na infinix zinatosha.

Haya mabanzi uliyompa sahivi anaugulia huko bandani kwake.
Kimsingi wengi wanaoponda iphone hawana flagships hata za android. Manake kuna features nyingi wanashare.
Na makumpuni mengi ya simu yanamuiga apple kafanya nini ndipo nayo yatoe matoleo mapya.Mimi situmii iphone na sina mpango wa kununua hiz simu kama nipo ndani ya nchi mfano wa Tanzania au nchi maskini zaidi ya Tanzania, lakini iphone ni moja ya simu zenye features zinazotakiwa kwa dunia5ya Leo.
Tunachoashindwa kujua ni kwamba Dunia hipo mbali sana kiteknolojia na internet ndiyo kila kitu ndiyo maana iphone wanahitaji internet connections hata kama radio, wenzetu nchi za mbele internet siyo tatizo .
Kwa maandaleo ya technology sasa vitu kama earphone za pin/wire, memory card, slot za kuweka sim kadi zaidi ya moja kwenye simu, mambo haya yanafikia mwisho zimebaki nchi ambazo hazijapiga hatua kiteknolojia.
Nina mengi ila muda unanibana kuandika, lakin iphone ni simu ambazo wewe na Mimi tulio ktk maandaleo finyu ya technology siyo walengwa rasmi.
Tambua features za iphone ndizo zinazo takiwa kwa Dunia ya Leo, hasa ukizingatia uharifu sasa unahamia ktk mitandao.
Kwa nchi ambazo hazijapiga hatua kiteknolojia simu kama Samsung, nokia ndiyo type yetu kwa wale wapenda simu za cheap simu kama techno na infinix zinatosha.
Na makumpuni mengi ya simu yanamuiga apple kafanya nini ndipo nayo yatoe matoleo mapya.
Apple anakwenda na wakati ujao.
Be blessed
Mkuu itoshe kusema kuwa ligi ya apple na android inaletwa na android users tuMkuu. Naomba kukurekebisha kwa mambo machache na uchache huu ukawe mwingi kwako. Natumai kama ni mtu wa kujifunza utapata somo kubwa sana. Tambua kwamba kabla iphone hajaingia sokoni kulikua na makampuni tycoon ambao pia walikua sokoni na walikua wanafanya vizuri na bei zao zilikua sio za kitoto. Naomba nikujibu point zako moja baada ya nyingine kama ifuatavyo
1)Kusema iphone ni gharama naomba nikupinge kwa ukali sana. Kwenye sim unatakiwa ujue kuna matabaka ama niseme grades. Kuna Flagship, kuna midrange na budget smartphone. Zunguka dunia nzima ni ngumu sana kukuta Flagship inauzwa hizo bei unazosema za laki nakitu.
Tizama kielelzo cha picha hapa chini
View attachment 1634975
View attachment 1634976
Ukitazama hapo ni iPhone 11Pro Max ya mwaka 2019 na samsung s20Ultra ya mwaka huo huo. Ukitazama kwa UK sim hizo zinauzwa bei sawa kabisa, ukija Marekani, Samsung ni ghali zaidi, ukirudi india sim hio iPhone inauzwa ghali zaidi ya samsung.
Hii inatokana na facts na variable nyingi sana ila trend ni hio. Tizama sim nyingi sana za Android huwa Ghali mwanzo ila miezi baadae zinapungua value pakubwa sana, kinachokufanya uone iphone ni ghali ni sababu market value yake inabaki juu kwa muda mrefu. Mtu mwenye laki nne ni ngumu kumuelewesha kwamba iphone 7/7Plus simu iliotoka mwaka 2016 mpaka leo bado hawezi ipata mpya kwa bei hio atasema ni expensive.
2) Ni ajabu sana mpaka mwaka 2020 bado unashangaa kutokua na tundu la earphone. Hili swala walilalama sana watu 2016 na leo hii ndo trend. Kila sim inayojielewa inaelekea huko.
View attachment 1634985
Hii ni Samsung Galaxy Note 20 ultra. Nioneshe tundu la headphone hapo. Japo wameweza kuweka tundu lote hilo kubwa la S-Pen ila wameignore kabisa earphone. Kubali ukatae hio ni technologia inayokufa taratibu.
3) Mkuu tatizo tupo dunia ya tatu ndo maana unapata tabu kidogo kuelewa na unahisi kwamba kuna tatizo mahala. Kumbuka iphone yuko many steps ahead. Dunia saivi inaelekea kwenye virtual /E-Sim. Inaachana kabisa na mambo ya physical sim. Kama umeona kwanzia iphone Xs- latest zinakua na dual sim. Sasa ziko za dual physical sim ambazo ni HK version na ziko ambazo dual sim yake ni E-Sim (Electronic Sim)
View attachment 1634996
Hii huhitaji kuwa na line. Kwa wenzetu unaenda Kampuni yako ya mtandao wanakupa QR code unascan unapata line ndani ya sim yako. Tanzania tutafika huku ila sijui lini. TCRA walitazame hili.
4) Kumbuka kwamba kuna kitu kinaitwa loyalty. Kwako wewe mtumiaji unaweza ona umebanwa kudownload miziki ila kumbuka illegal download ni kosa kisheria na unaweza fungwa. Lakini pia kwa wasanii hii inawasaidia wao kuboost digital sales zao. Hii ni mbinu ambayo tunakoelekea itakua implemented in most platforms. Imagine wewe kama unauza duka la mangi tuseme (alafu kuna namna 50% ya watu wanaweza kuchukua bidhaa zako bila wewe kunufaika, hio imekaa vipi?)
5)sijaelewa unaamanisha nini kusema shughuli pevu. Nadhani swala la security basi kwako ni dogo sana. Unafahamu kwamba sim nyingi za Android kwa kuwa na option ya Debugging mode, mtu anaweza tengeneza sim virtual kwenye computer alafu akachukua sim yako na akaipaste kila kitu kwenye computer hio virtual na kuwa na uwezo wa kuona kila kilichopo kwenye sim yako. Je hicho ndicho unachotaka? Mimi nimetumia iphone tangu mwaka 2007 na android pia nimetumia. Sijawai ona hio shughuli pevu unayoisema wewe labda unieleweshe.
6)Naomba nikusahihishe hapa. Na nikutume ukafanye tena research. Ichi unachozungumzia kilikua kweli 2016 kurudi nyuma. Sasaivi tizama kampuni nyingi kubwa za apps, kuna hata tweaks au niseme vionjo ambavyo vinawekwa kwenye iphones tuu. Kuna apps ambazo huanza na kuingia kwenye iphones kwanza kabla ya android “mfano hai games kama Fortunite” pia application kama instagram na whatsapp na snapchat zinafanya vizuri sana kwenye iphone sababu kila iphone inapata a tailor made app. Mfano mwaka huu 2020 zimetoka iphone nne zenye ukubwa tofauti wa screen iphone seii, iphone 12mini, iphone 12/12pro na iphone 12Pro Max, ni rahisi kwa izi application kutengenezea kila sim application iliokua edited special for hio sim. Ila kwa android sababu ni soko zima la sim zaidi ya 500 tofauti tofauti basi inatengenezwa one app fits all ndo unaona kunakua na mvutano wa picha na video.
7) SECURITY IS KEY FEATURE KWENYE SIM NDO MAANA NILIKUAMBIA MWANZO WEWE KUA NA UWEZO WA KUGARAGAZA SIM YAKO KUMBUKA UNAWAPA UWEZO HUO HUO WATU WASIO NA NIA NZURI NA WEWE
8)nataka uchukue samsung Flagship yeyote ya latest toka 2018-2020 alafu sikiliza nayo offline radio alafu njoo tena hapa leta argument. Again iphone wapo mbele technological. Vitu wanavotoa na kuviacha wengine hufuata muda mfupi badae.
9)Mkuu naanza kuamini kwamba kuna uwezekano hii kitu umecopy paste mahala ukabadili lugha na hii ilikua post ya 2016 kurudi nyuma.
View attachment 1635005
Hii ni Note 20Ultra. Kubadili battery kwenye hii sim ni mtihani and so is many Androids. By standards iphone ni moja kati ya sim rahisi sana kubadili battery tofauti na hizo android zako.
Kwenye swala la storage na kuback up sim kwenye memory card, nikurudishe tena SECURITY
10) Kama kitu hujui sema sijui, ukiskia mtu kasema kitu flani hakiwezekani embu fanya research kwanza kuliko wewe nawe kuruka kwamba haiwezekani.
View attachment 1635006
Hii ni sim yangu na utaona nina Ringtone ya Ratvanny naogopa. Sasa wewe sijui uliona wapi kwamba haiwezekani.
11) Again technology inapoenda taa zinatoka. Na kuna option kwenye iphone ya kuset flash light ikuallert.
12)Tena narudia kama hujacopy paste hii kitu kutoka mwaka 2016 basi hujawai tumia iphone ama hujafanya research. Default apps unaweka vizuri tuu.
View attachment 1635014
Email zangu zote nafungua kwa Gmail app, Safari ndo Default browser nilioweka. Kuweza kuset hivi nenda settings alafu app unayotaka mfano Google Chrome alafu utapata option ya make this Default browser.
13) SECURITY. Kasome kuhusu uwezo wa ADB na SDK alafu hutathubutu tena kulog in kizembe zembe kwenye sim za watu.
14)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao wenzako wanatumia iphone gani boss? Na hizo Powerbank wanatembea na powerbank gani? Naomba nikupe mfano, mtu mwenye iphone 11Pro Max anauwezo wa kukaa na chaji kwenye sim yake kwanzia saa moja asubuhi mpaka saa tisa mchana. Thats a fact. Iphone huonekana ina battery ndogo ila hakuna sim yenye optimization kama iphone, ukizingatia na kuwa na ABionic Chips basi hii inawapa mileage kubwa zaidi tofauti na sim ambazo zinatumia 3rd part chipsets.
View attachment 1635022
Utaona hapo tofauti ya iphone na zingine ni ndogo sana and by 2020 standards, still promising.
15)ECO SYSTEM MKUU ndo maana unaona hata kwenye sim tu skuizi app zinataka ubaki kwneye app zao. Unafungua link inafunguka in app built browser kukuweka built in. And thats what apple is doing. Ndo maana as a company wanazidi kua successful.
16)Hili linaweza kuwa na ukweli kwa asilimia kadhaa but as research shows, video zinazochukuliwa kwenye iphone zinakua more stable na vivid kuliko on anyother smartphone. Nikutume ukaangalie iphone big event wakati wanazindua hizi 12lineup utaona jinsi gani wamechange game la camera kwenye sim.
Nimechukua muda kidogo kukuandalia makala hii natumai utaisoma kwa upana na utaelewa sana.
0786371107 kama kuna ziada.
Umemaliza kila kitu, mjadala umefungwa.Mkuu. Naomba kukurekebisha kwa mambo machache na uchache huu ukawe mwingi kwako. Natumai kama ni mtu wa kujifunza utapata somo kubwa sana. Tambua kwamba kabla iphone hajaingia sokoni kulikua na makampuni tycoon ambao pia walikua sokoni na walikua wanafanya vizuri na bei zao zilikua sio za kitoto. Naomba nikujibu point zako moja baada ya nyingine kama ifuatavyo

tenko ndo nini?ujinga tu nilishayakataaga hayo ma [emoji519] ndio sinaga mzuka nayo hata.mim na tenko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza nipo kwa iphone kwa zaid ya miaka 15 now i have xs max soon naenda kwa 12pro najua uwezo wake..
Kifungu cha tano hapo.Muhamishia simu kwa PC ni rahisi na unatumia Itune.Asante1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna simu hata za laki kwa wenye bajeti finyu ila pia kuna simu za gharama kuliko hata iPhone kwa wanaojiweza kiuchumi. Hata hivyo bado wapo wasiojiweza kiuchumi wanaolazimisha kununua i phones, kundi hili hununua simu hizi kwa lengo la kufeki maisha waonekane wapo vizuri kimaisha.