RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Mtu ambaye hajawahi kutumia iPhone hawezi kujua aseme nini. Anachojua yeye ni kuwa iPhone ni bei kubwa. Hakuna kitu kingine anajua.
Sumsung, Google, LG, Oppo, Huawei, hTC, na zingine nyingi ni tofauti ya majina na brand tu lakini a simple fact ni kuwa zooote ni ANDROID.
Appe software ni habari nyingine ambayo asiyejua ndio anaweza kusema bei kubwa. Bei kubwa kulinganisha na nini?
*Apple Software (iOS).