IPhone, SmartTV, AI... na vifaa vingi 'smart' vinakuangalia na kukufuatilia maisha yako

IPhone, SmartTV, AI... na vifaa vingi 'smart' vinakuangalia na kukufuatilia maisha yako

Natty Bongoman

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2008
Posts
648
Reaction score
384
IPhone ni EYEPhone = inakuangalia

SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure

AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia

* kuwa mtu wa kucheki 'settings' za social media, email na simu... na kuzima unakoweza pia acha mazoea ya kumwaga mtama mtandaoni
 
Back
Top Bottom