IPhone ni EYEPhone = inakuangalia
SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure
AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia
* kuwa mtu wa kucheki 'settings' za social media, email na simu... na kuzima unakoweza pia acha mazoea ya kumwaga mtama mtandaoni