Frahcess Ones
Member
- Oct 2, 2021
- 20
- 6
- Thread starter
- #21
Hii ni Original boss sio CopyCopy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Original boss sio CopyCopy
Face ID imelala?Baada tuu ya ku Update Battery Health haisomi n ilikiwa [emoji817] then Face ID imelala yaan hawa jamaaView attachment 1963195View attachment 1963196
Iphone hawana hilo toleo Mkuu
Kumbe Iphone nao wana double line...!
Hapana tatizo la Apple lipo kwenye Updates zao huwa ndio zinaharibu simu ilikuwa safi kabisa na Face Id na BH ilikuwa inasoma frsh [emoji817] nilipo Update tuuu shida ikaanzia hapoFace ID imelala?
Simu haijabadilishwa logic board kweli?
Maana Face Id iko paired na logic board mtu akibadili tu logic board face ID haiwezi fanya kazi.
Bei ya mwisho ni sh ngapi?Hapana tatizo la Apple lipo kwenye Updates zao huwa ndio zinaharibu simu ilikuwa safi kabisa na Face Id na BH ilikuwa inasoma frsh [emoji817] nilipo Update tuuu shida ikaanzia hapo
Huwezi amini mimi ndio najua leo kwenye huu uzi kwamba iphone wana simu zinatumia laini mbili...Mkuu hadi leo hujui kama IPhone zipo line mbili?
Kwa taarifa tu, iphone dual sim zinapatikana soko la China, Hong Kong na Makau
Kwa taarifa zaidi soma hapa...
Using Dual SIM with two nano-SIM cards - Apple Support
In China mainland, Hong Kong, and Macao, certain iPhone models feature Dual SIM with two nano-SIM cards. This gives you two phone numbers to make and receive calls and text messages.support.apple.com
Huwezi amini mimi ndio najua leo kwenye huu uzi kwamba iphone wana simu zinatumia laini mbili...
Niongeze na mm kwenye listHuwezi amini mimi ndio najua leo kwenye huu uzi kwamba iphone wana simu zinatumia laini mbili...