The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nadhani sasa Apple wanahamia India. India ina soko kubwa sana ambalo limeachwa muda mrefu bila kutumika.Mbona zaidi ya miaka 5 sasa iphone haina mauzo makubwa china?
Apple hawezi kufanikiwa India unless aanze kutoa bidhaa za Bei rahisi, average smartphone price India ni $159, hao ni kama sisi tu watu wengi simu zao ni za Around laki 3.Nadhani sasa Apple wanahamia India. India ina soko kubwa sana ambalo limeachwa muda mrefu bila kutumika.
Naona big tech companies sasa ndio zinaipa macho India, Google, Apple, Amazon na nyingine zimetangaza kuanza kuwekeza India.
India pia imetengeneza mazingira ya kuvutia wawekezaji wakubwa, kuwapa tax credit and incentives, pia China gharama za ajira zimepanda sana hivyo macho ya watu yako India.
Ila mkuu hata China, purchasing power yao haina tofauti na ya wahindi.Apple hawezi kufanikiwa India unless aanze kutoa bidhaa za Bei rahisi, average smartphone price India ni $159, hao ni kama sisi tu watu wengi simu zao ni za Around laki 3.
Hao wanaokwenda kuwekeza wanatafuta tu Cheap labour, then vifaa vitauzwa nchi nyengine.
Unaweza ukaangalia hapa mkuuI
Ila mkuu hata China, purchasing power yao haina tofauti na ya wahindi.
Sahihi mkuu,majimbo kama Beijing, Shanghai, Macao, Hong Kong hao per capita ni Dollar 50,000 kwa mwaka.Unaweza ukaangalia hapa mkuu
List of Chinese administrative divisions by GDP per capita - Wikipedia
China wana Income inequality kubwa sana, kuna eneo la East ambapo ndio mambo Ya It yalipo GDP per capita ni Zaidi ya dola 20,000 wana Income kama Nchi nyengine tu za Ulaya.
Then kuna Majimbo mengine yana masikini wa Kutosha tu, per capita hadi dola 4000,
Hivyo hao Wa east wanaweza Ku afford vitu vya Gharama.
India wao ni kama Sisi wana project za kujenga vyoo bado
China wananchi wake wanahela kuliko wale wa IndiaI
Ila mkuu hata China, purchasing power yao haina tofauti na ya wahindi.