Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
kuna iphone 7 plus hapa 32 gb bei laki 6 na nusu imetumika only 3 weeks bado mpya kabisa ina warranty 1 yr View attachment 1188545
Hahahahaaaaa wewe siyo mtumiaji wa iPhone, kanunue techno mkuuIphone 6, 750k ndio wamepunguza? Wafanye hata 500k bana..
Weka picha yako na ya simu pamoja na bei. Usisahau na namba ya kitambulisho cha NIDA ili kama ni ya wizi iwe rahis kukutrace.nj'oo mtaa wa agrey babu utapata kitu cha i4n og
WEWE NAE UNAUDHI...KWANI UMEAMBIWA MAKUMBUSHO TUU NDIO WANAUZA SIMU ZA iPHONE? Maduka mengine huyaoni?Habari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho
Ila kabla sijaenda nikatonywa na fundi wang wa simu akasema usiende kule watakupa simu feki, mara wengine wanasema second hand, mara refurbished, mara hazidumu kwa sababu sio orijino.
naombeni mnisaidie jaman nijue kiundani zaidi kama kuna aliyewah kununua na kujua mapunguf ya hzo simu..na pia mnielekeze sehem wanazouza hizi simu original kwa bei ya kawaida maana ni ndoto yangu na mimi kumiliki iphon... iphone 5,5s au 6 zenye storage ya 16 had 64
sijaandika huu uzi kwa lengo la kuharibu biashar ya wtu
nsamehen kw mwandiko wang kama utawakera
natka mpya
Na wewe ulinunua makumbusho mkuu
Fika 500k Kesho njoo makumbusho ufate pesa yako boss
Kwani haziruhusiwi kuuzwa huko?mimi wa tecno subiri ninyuti hapahapa,
kiukweli nimeshangaa sana kuona duka la iPhone maeneo ya nusu-uswazi,
nikajua ni jina tu wamebandika
zimechangamka kvp ntajie mfano mkuu
Kwanza kabisa usinunue iphone 5 wala 5c maana apple ashaacha kuzipa support pia iphone5s ina support ila nayo huenda ataacha hivi karibuni maana apple anatabia ya kusupport simu kwa miaka 5 toka ameitoa. Hivyo chini ya iohone 5s hazipokea updates na apps nyingi kwa iohone 5 kurudi nyuma hazisupport.Habari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho
Ila kabla sijaenda nikatonywa na fundi wang wa simu akasema usiende kule watakupa simu feki, mara wengine wanasema second hand, mara refurbished, mara hazidumu kwa sababu sio orijino.
naombeni mnisaidie jaman nijue kiundani zaidi kama kuna aliyewah kununua na kujua mapunguf ya hzo simu..na pia mnielekeze sehem wanazouza hizi simu original kwa bei ya kawaida maana ni ndoto yangu na mimi kumiliki iphon... iphone 5,5s au 6 zenye storage ya 16 had 64
sijaandika huu uzi kwa lengo la kuharibu biashar ya watu,
nisamehe kwa mwandiko wang kama utawakera