iPhone za Makumbusho zina nini?

iPhone za Makumbusho zina nini?

Hamna iPhone Feki? rudia tena nikuskie...

usiongee kwa sauti watu wasikuskie...

Mchina sio mtu mzuri narudia tena Mchina sio mtu mzuri.
Hizo sio iPhone ni android zenye housing ya iPhone..

Tofauti na Samsung feki, inakua inaelekeana na Samsung original kwa kila kitu kuanzia housing hadi OS.

Ndio maana unaambiwa hakuna iPhone feki, ila kuna Android zenye housing ya iPhone.
 
Hizo sio iPhone ni android zenye housing ya iPhone..

Tofauti na Samsung feki, inakua inaelekeana na Samsung original kwa kila kitu kuanzia housing hadi OS.

Ndio maana unaambiwa hakuna iPhone feki, ila kuna Android zenye housing ya iPhone.
sawa
 
Ndoto ni kumiliki iphone??... Iyo nayo ni ndoto nan? Aliye waroga!!!!!!!!
 
Makumbusho huko ni refurbished,,mixer second hand..kingine hakuna iPhone fake

Nenda Apple store Mlimani City,bei zimechangamka kuliko kawaida..wewe si umesema unataka original??,,sogea hapo
Fake zipo tena nyingi. Nimetumia iPhone fake mwaka jana
 
Nunua popote acha kusikiliza maneno ya watu hata huko kariakoo simu fake zipo kibao tu. Iphone 📱 fake ni rahisi sana kuitambua hilo nalo inabidi uwe nalo kichwani.
 
Hivi kuna nini cha ziada iphone kuizidi sana Sansung? Nimeuliza kizushi, kwa sababu nilinunua iphone 6 sikudumu nayo nikaiuza.

Tunaoshinda jf wala haifai. Kushinda unabofyabofya haipendi, beteri lake goigoi, halafu ukizima ukaweka chaji, inajiwasha automatic, sasa ndiyo nini!
Lakini ukikuta wenye alosto nazo kusifia!

Uzalendo ulinishinda nikaita dalali.
Tangia hapo nikang'ang'ania samsung mazima kwa sababu wananipatia ninachokitaka.
iPhone zinawafaa mabitozi wapenda madanga
 
Nenda Kariakoo China Plaza, kuna maduka mengi ya IPhone original kama Punga phone na mengine mengi tu, utapata IPhone X, IPhone XS, IPhone XSM na matoleo mengine ya kisasa ZAIDI, achana na used au fake utapoteza pesa yako bure
China Plaza inapumulia mashine wamebaki jamaa wa TECNo na Oraimo
 
Back
Top Bottom