Hizo sio iPhone ni android zenye housing ya iPhone..Hamna iPhone Feki? rudia tena nikuskie...
usiongee kwa sauti watu wasikuskie...
Mchina sio mtu mzuri narudia tena Mchina sio mtu mzuri.
sawaHizo sio iPhone ni android zenye housing ya iPhone..
Tofauti na Samsung feki, inakua inaelekeana na Samsung original kwa kila kitu kuanzia housing hadi OS.
Ndio maana unaambiwa hakuna iPhone feki, ila kuna Android zenye housing ya iPhone.
Unapaikana wapi nikupe kesho 450k
Fake zipo tena nyingi. Nimetumia iPhone fake mwaka janaMakumbusho huko ni refurbished,,mixer second hand..kingine hakuna iPhone fake
Nenda Apple store Mlimani City,bei zimechangamka kuliko kawaida..wewe si umesema unataka original??,,sogea hapo
kuna iphone 7 plus hapa 32 gb bei laki 6 na nusu imetumika only 3 weeks bado mpya kabisa ina warranty 1 yr View attachment 1188545
Mkuu uko serious?Hao punga phone ni walewale, waliwahi kuniuzia Sony ericsson fake mpaka leo maduka yao nayaogopa kama ukoma
iPhone zinawafaa mabitozi wapenda madangaHivi kuna nini cha ziada iphone kuizidi sana Sansung? Nimeuliza kizushi, kwa sababu nilinunua iphone 6 sikudumu nayo nikaiuza.
Tunaoshinda jf wala haifai. Kushinda unabofyabofya haipendi, beteri lake goigoi, halafu ukizima ukaweka chaji, inajiwasha automatic, sasa ndiyo nini!
Lakini ukikuta wenye alosto nazo kusifia!
Uzalendo ulinishinda nikaita dalali.
Tangia hapo nikang'ang'ania samsung mazima kwa sababu wananipatia ninachokitaka.
China Plaza inapumulia mashine wamebaki jamaa wa TECNo na OraimoNenda Kariakoo China Plaza, kuna maduka mengi ya IPhone original kama Punga phone na mengine mengi tu, utapata IPhone X, IPhone XS, IPhone XSM na matoleo mengine ya kisasa ZAIDI, achana na used au fake utapoteza pesa yako bure
Acha masikhara mkuu,nenda punga phone mtaa aggrey mzee wale jamaa simu zao viwango bwasheeHao punga phone ni walewale, waliwahi kuniuzia Sony ericsson fake mpaka leo maduka yao nayaogopa kama ukoma