IPhone13 na dada zetu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhambi hizi jomoneeeh lol.
 
Sijui mimi ni bahili? Yaani hata nipewe bure naiuza nanunua simu ya laki 3 au 4. Ati 3m zote nizishike mkononi? Nina mambo mengi ya kufanya huo ni upuuzi, mtu anaishi chumba kimoja cha kupanga mkononi ana simu ya mil3? Upuuzi.
 
Sasa umeshakuwa ntu nzima
 
Unajua wengi wanakuwa na simu za aina hiyo kwa Ajili ya Show off tu na wala hawana matumizi nayo makubwa ya kuendana na simu hizo kabisa .

Utasikia kamera yake ni nzuri sana sasa kazi ya Canon dukani ni ipi sasa ?🀣🀣

Mjinga ana sifa ya kuwaaminisha watu kuwa siyo mjinga ndio maana wakiwa nazo lazima wafanye juu chini wafu waone au wajue anayo .

Mheshimiwa hakimu nimemaliza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…