IPhone13 na dada zetu

IPhone13 na dada zetu

Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.

Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..

[/QUOTES 😔
 
Kuna mwingine mahux anssoma chuo x bagamoyo kaliwa kwa mparange wiki nzima lodge kwa madai ya kupewa iphone 12 ,cha ajabu jamaa kamkabidhi simu ipromax 12 ya kichina yenye android ...jamaa kazima na cm kapotea demu mpk sasa hana hamu kbs ,yupo yupo tu ,Tamaa zinawapeleka kubaya sana

sent from HUAWEI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhambi hizi jomoneeeh lol.
 
Sijui mimi ni bahili? Yaani hata nipewe bure naiuza nanunua simu ya laki 3 au 4. Ati 3m zote nizishike mkononi? Nina mambo mengi ya kufanya huo ni upuuzi, mtu anaishi chumba kimoja cha kupanga mkononi ana simu ya mil3? Upuuzi.
Sasa umeshakuwa ntu nzima
 
Unajua wengi wanakuwa na simu za aina hiyo kwa Ajili ya Show off tu na wala hawana matumizi nayo makubwa ya kuendana na simu hizo kabisa .

Utasikia kamera yake ni nzuri sana sasa kazi ya Canon dukani ni ipi sasa ?🤣🤣

Mjinga ana sifa ya kuwaaminisha watu kuwa siyo mjinga ndio maana wakiwa nazo lazima wafanye juu chini wafu waone au wajue anayo .

Mheshimiwa hakimu nimemaliza .
 
Back
Top Bottom