KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
Huwa najiuliza mimi, au ndo kutokujua au ni ushamba ,sijui kibeseni mimi.
Naonaga watu wengi ili kuonyesha kwamba anampenda mke au mpenzi wake, utaona wengine wanabusiana. Wako wanaowabusu wapenzi wao shavuni, wengine wanawabusu kwenye paji la uso, wengine kwenye shingo za wake zao hasa wanaume wanabusu wapenzi wao au wake zao shingoni.
Lakini wako wengine wanabusu wapenzi wao mdomoni yaani mdomo kwa mdomo, wengine huo mdomo mpaka wanabusiana na kunyonyana ulimi. Ila mimi sijui ni ulimi tu wananyonyana au wanapeana mate, lakini huku kupeana mate sijui kuna raha gani.
Kupi ndo sahihi kama kumbusu mpenzi wako ninkuonyesha mapenzi kwake, busu lipi sahihi. kuonyesha mapenzi kwa mme wako au mke wako.
Au tunaiga iga tu ujinga. Angalia kuna raha gani kunyonya mate ya mwingine kama si ujinga na uchafu.
Mnaojua mapenzi mnisaidie.