Ipi alama yakuonyesha napendwa na mke au mme?

Ipi alama yakuonyesha napendwa na mke au mme?

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
360
Reaction score
351
Huwa najiuliza mimi, au ndo kutokujua au ni ushamba ,sijui kibeseni mimi.

Naonaga watu wengi ili kuonyesha kwamba anampenda mke au mpenzi wake, utaona wengine wanabusiana. Wako wanaowabusu wapenzi wao shavuni, wengine wanawabusu kwenye paji la uso, wengine kwenye shingo za wake zao hasa wanaume wanabusu wapenzi wao au wake zao shingoni.

Lakini wako wengine wanabusu wapenzi wao mdomoni yaani mdomo kwa mdomo, wengine huo mdomo mpaka wanabusiana na kunyonyana ulimi. Ila mimi sijui ni ulimi tu wananyonyana au wanapeana mate, lakini huku kupeana mate sijui kuna raha gani.

Kupi ndo sahihi kama kumbusu mpenzi wako ninkuonyesha mapenzi kwake, busu lipi sahihi. kuonyesha mapenzi kwa mme wako au mke wako.

Au tunaiga iga tu ujinga. Angalia kuna raha gani kunyonya mate ya mwingine kama si ujinga na uchafu.

Mnaojua mapenzi mnisaidie.

20240518_175326.jpg
 
Kama humnyonyi wako, watamnyonya wenzako uje kulia hapa.... nyonya mkuu kote kote ushanifam?.
 
Ukiachana na kubusiana kuna mengi ya kufanya....

achana na mabusu

Unaweza fanya mambo mengi kumfurahisha mkeo.
1. Mnunulie gari, dhababu, simu kali
2. Kumshika mkono
3. Kumuandalia chakula
4. Kumtoa out
5. Kumpiga kikofi matakoni
6. Kumnong'oneza
7. Kumuangakia kwa mahaba
8. Kulishana chakula, isiwe matonge ya ugali - not romantic
9. Kumuimbia nyimbo
10. Kucheza nae mziki
11. Kumsifia
12. Kuchora tattoo haha wale watakaotoa povu
13. Kuandika jina lake kwenye dick "owned by..."


At your risk...
 
Kama huwezi mambo machafu achana nayo ww Fanya mambo masafi
 
Ukiachana na kubusiana kuna mengi ya kufanya....

achana na mabusu

Unaweza fanya mambo mengi kumfurahisha mkeo.
1. Mnunulie gari, dhababu, simu kali
2. Kumshika mkono
3. Kumuandalia chakula
4. Kumtoa out
5. Kumpiga kikofi matakoni
6. Kumnong'oneza
7. Kumuangakia kwa mahaba
8. Kulishana chakula, isiwe matonge ya ugali - not romantic
9. Kumuimbia nyimbo
10. Kucheza nae mziki
11. Kumsifia
12. Kuchora tattoo haha wale watakaotoa povu
13. Kuandika jina lake kwenye dick "owned by..."


At your risk...
Hii ni kwa watu wasio na kazi za kufanya au?
 
Back
Top Bottom