SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Nasikia eti ni mbadala wa Mundende katika kusimamia Ukucha 😁😁energy drink na panadol? zinaleta nn??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia eti ni mbadala wa Mundende katika kusimamia Ukucha 😁😁energy drink na panadol? zinaleta nn??
Asubuhi tu kijiwe kimejaa nyomi la watu, ukipita unaweza kudhani kuna ugomvi kumbe watu wanabishana 😂Mambo ya Wazee wa ilala plus kujifanya Usalama wa taifa Mainfo ya nchi yako pale kwenye vile vibenchi ....... nawakubali sana,😂
kwamba ukitumia unakaa masaa mangapi kifuani kwa mtoto wa watu,,imekuwa vita?Nasikia eti ni mbadala wa Mundende katika kusimamia Ukucha 😁😁
Kweli kabisa Ukiwa mgeni unaweza dhani zinapigwa kumbe watu wanafyala midomo tuuh.Asubuhi tu kijiwe kimejaa nyomi la watu, ukipita unaweza kudhani kuna ugomvi kumbe watu wanabishana 😂
🤣🤣Asubuhi tu kijiwe kimejaa nyomi la watu, ukipita unaweza kudhani kuna ugomvi kumbe watu wanabishana 😂
Asante sana kwa elimu ndugu yangu
Hapo hata upige bomu vyote vitasambaratika ila vidole plus kashata vitabaki intact! 🤣🤣🤣Naona ukashata umeubana kitaalam.
Vimekamata zaidi ya praiziHapo hata upige bomu vyote vitasambaratika ila vidole plus kashata vitabaki intact! 🤣🤣🤣
Gahwa mpango mzima.Kiboko ya uchovu,na kiburudisho asili na uchangamfu siku nzima.Binafsi kwa nilivyoielewa kahawa natakiwa kuwa coffee tester ili niwapatie wapenda kahawa kilicho bora zaidi.- KAHAWA au ENERGY DRINKS (za viwandani) ipi bora?.
* KAHAWA: kinywaji cha asili chenye sifa ya kuongeza nguvu ya ziada kinachotokana na mimea.
* ENERGY DRINKS: Vinywaji hivi vya kuongeza nguvu ya ziada kutoka viwandani.
~Vinywaji hivi vimeibuka kuwa maarufu sana hasa kwa vijana ambapo vimeonekana kama mkombozi wao hasa kwa urahisi wa upatikanaji.
Ni nini kinacho patikana katika vinywaji hivi viwili ili kuwa na sifa ya kumpa mtumiaji nguvu ya ziada pale anapohitaji?
Hebu tufanye mlinganyisho wa pande zote na tuonekiafya pia ikoje?
Hivi ndivyo vitu muhimu vinavyofanya vinywaji hivi viitwe (kinywaji nguvu).
1) CAFFEINE:
Chupa ndogo ya energy drink (300 ml) na kikombe cha kawaida (≤ 300 ml), vyote vibeba kiwango sawa cha caffeine.
Hata hivyo, caffeine inayopatikana kwenye kawaha asili hunyonywa taratibu na mwili tofauti na ilivyo kwa energy drinks za viwandani.
Kivipi; caffeine inayopatikana kwenye vinywaji vya viwandani vimebuniwa ili kunyonywa kwa haraka na kufanya kazi haraka zaidi.
2) VIUNGO VYA ZIADA(additives):
Energy drinks zimebeba viungo vingine vya ziada ndani yake kama; Taurine ( amino sulfonic acid ), ginseng, preservatives, radha, rangi na vinginevyo vingi (kulingana na pendekezo la kiwanda).
Kawaha haina viungo kabisa au hutiliwa kidogo sana kama (preservatives) ili ikae kwa muda fulani bila kuharibika kwa haraka.
3) VIRUTUBISHO
Kahawa ina vitamin B2, B5, B12, potassium, niacin, sodium na magnesium.
Energy drinks pia ina vitamins B', niacin, lakini pia Taurine na ginseng, sukari na vitu vingine ambavyo havihitajiki sana na mwili.
4) SUKARI
Energy drinks zina kiwango kikubwa cha sukari kuliko kahawa.
Hata hivyo, unaweza kuongeza kiwango cha utamu katika kahawa kulingana na apendavyo mtumiaji.
FAIDA KIAFYA:
Kahawa ni bora na salama zaidi kiafya kulingana tafiti zilizokusanywa kwa karne nyingi.
Energy drinks hazina shida lakini zina maonyo mengi kudhibiti utumiaji holela, kutokana na uwezo wake wa juu wa kuweza kumsababishia mtumiaji Matatizo ya kiafya hasa ya moyo ikitumiwa kupita kiwango.