Violet Nkata
Member
- Jun 3, 2021
- 12
- 2
Ingia kazini kwanza. Tanzania siyo ya baba yako na dunia.Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Kama nafasi ya kazi ipo anza kazi kama hamna nenda kasome.Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Mdogo wangu pambana upige shule angalau degree moja (MD) ukiwa bado huna majukumu, utanishukuru baadayeHabar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Ukiwa huna hela na huna MD yaan CO plain... unakua msenge pro MaxTafuta pesa...md bila hela ni usenge.
#MaendeleoHayanaChama
Elimu ina mwisho.Fanya kwanza kazi, Elimu haina Mwisho.