martial arts
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 191
- 100
kwa maisha ya sasa na style ya elimu ya tanzania bora uende tech college au VETA kuliko advance!
jamani ipi bora kati ya kusoma technical college then high education na advance then high education?
Mkuu unachosema ni sawa ila hakipo applicable Tanzania. Elimu yetu inatuandaa ku crame majibu na kujibu maswali ya mtihani tu. Haituandai kupambana na maisha ya mtaani. Matokeo yake vijana wetu waliomaliza chuo kikuu kila siku wanatembea kule mjini na bahasha za kutaka ajira. Why utafute ajira kama uliandaliwa kutumia ujuzi wako? Wewe ndio unatakiwa uajiri watu!Kama akili zako ni za kubabaisha, achana na A-leve! If you are smart enough upstairs, proceed to A level!` Jipime mwenyewe, hilo hakuna wa kukupima, unajua kichwa chako kikoje!
Combination gani A level unataka? Na je unataka kusomea nn hapo baadae? Nakushauri uende A level kama upo vizuri kidogo , na hii itakupa muda wa kujua kitu gani hasa usomee na pia utakuwa na uwanja mpana wa kuchagua nini usomee baadae, mfano kama unachukua mchepuo wa PCM unaweza somea civil engineering, mechanical, electrical , telecommunications etc na kozi nyingine nyingi zikiwemo nyingi pake Ardhi ,pia mtu wa PCM pia anaweza kusomea kozi zingine zikiwemo za bihashara au procurement.
Ukienda vyuo vya Ufundi nikwambs wewe unakutayari umeshachagua fani yako kama utaamua kwenda kusoma telecommunications basi wewe ni hiyo na unakuwa huna options, kwa level yako itakuwa ndo umemaliz form 4 , kwa upande wa ufundi kuweza kufika chuo kikuu au level ya degree ningumu sana, sana sana utaishia level ya cheti amabacho kwa nchi yetu utaishia kubeba toolbox kwenye viwanda vya wahindi au kwenye vijiwe .
But pia kama uko vizuri ukipitia vyuo vya ufundi ukafika level ya juu utakuwa mtaalamu mzuri.
Mkuu unachosema ni sawa ila hakipo applicable Tanzania. Elimu yetu inatuandaa ku crame majibu na kujibu maswali ya mtihani tu. Haituandai kupambana na maisha ya mtaani. Matokeo yake vijana wetu waliomaliza chuo kikuu kila siku wanatembea kule mjini na bahasha za kutaka ajira. Why utafute ajira kama uliandaliwa kutumia ujuzi wako? Wewe ndio unatakiwa uajiri watu!
Kwa maisha na mfumo wa Tanzania ulivyo kwa sasa nakushauri uende Technical College.
Hapana, huwezi kuwa na first class undergraduate degree ukakosa kazi, If you are smart to that level huwezi kosa kazi kwa sababu at any rate you will be short listed during application and consequently interviewed! Degree ya karai utapata tabu kuajiriwa kwa sasa maana waombaji ni wengi. Sasa kuliko kukutwa na dhahama hiyo nenda ufundi! Utajiajiri! Hata mimi wanangu ambao naona A level itawasumbua wamekwenda ufundi na hawakosi angalau mkate wao wa asubuhi. Angalia ushauri wa post 5 hapo juu
hapo kwnye A Level umepatia sana tu, lakini hapo kwenye Technical Education unapotosha umma. Nani kakwambia ni vigumu kujiendeleza na mtu aliyepitia vyuo vya ufundi ataishia kwny cheti. Acha kukariri bhana.
Alafu uwe unapitia TCU Guide Book. Mbona kuna field nyingi tu za Engineering zinaruhusu mtu aliyesoma diploma fulani anaweza kusoma Bachelor degree ya Engineering nyingine tofauti na ile aliyoisoma at diploma level.