ipi bora kati ya kupitia technical college au kwenda advance?

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
jamani ipi bora kati ya kusoma technical college then high education na advance then high education?
 
kwa maisha ya sasa na style ya elimu ya tanzania bora uende tech college au VETA kuliko advance!
 
jamani ipi bora kati ya kusoma technical college then high education na advance then high education?

Kama akili zako ni za kubabaisha, achana na A-leve! If you are smart enough upstairs, proceed to A level!` Jipime mwenyewe, hilo hakuna wa kukupima, unajua kichwa chako kikoje!
 
Both are gud depends with what u want to do in life
-technical colleges teach more practical knowledge and exposes u to doing work earlier than thoz through universities
-university degrees teach more theorical knowledge and practical knowledge especially with certain disciplines (engineering etc).

"If u know how to do things u'll always get a job, if you know why they are done u'll always be the boss" nlisoma mahali
U see
-what is the simplest question
-how a lil tougher question
-why is toughest toughest
The best u are at reasoning keeps u in a better position to make the right calls. Life is all about tht.

Nenda advance teseka kdg uskate tamaa, fika chuo.
 
Kama akili zako ni za kubabaisha, achana na A-leve! If you are smart enough upstairs, proceed to A level!` Jipime mwenyewe, hilo hakuna wa kukupima, unajua kichwa chako kikoje!
Mkuu unachosema ni sawa ila hakipo applicable Tanzania. Elimu yetu inatuandaa ku crame majibu na kujibu maswali ya mtihani tu. Haituandai kupambana na maisha ya mtaani. Matokeo yake vijana wetu waliomaliza chuo kikuu kila siku wanatembea kule mjini na bahasha za kutaka ajira. Why utafute ajira kama uliandaliwa kutumia ujuzi wako? Wewe ndio unatakiwa uajiri watu!
 
Sionagi faida ya mtu kwenda kusoma pcm advance labda kwa combinations nyingine
 
Nenda TECHNICAL COLLEGES Llike ATC, DIT & MIST.

NO DEAL IN ADVANCE FOR PCM
 
Yaan kama masomo ya sayansi umepata vizuri bas nenda tech kwasaba advance yenye hamna walim na kupata zero nje nje.
 
Combination gani A level unataka? Na je unataka kusomea nn hapo baadae? Nakushauri uende A level kama upo vizuri kidogo , na hii itakupa muda wa kujua kitu gani hasa usomee na pia utakuwa na uwanja mpana wa kuchagua nini usomee baadae, mfano kama unachukua mchepuo wa PCM unaweza somea civil engineering, mechanical, electrical , telecommunications etc na kozi nyingine nyingi zikiwemo nyingi pake Ardhi ,pia mtu wa PCM pia anaweza kusomea kozi zingine zikiwemo za bihashara au procurement.

Ukienda vyuo vya Ufundi nikwambs wewe unakutayari umeshachagua fani yako kama utaamua kwenda kusoma telecommunications basi wewe ni hiyo na unakuwa huna options, kwa level yako itakuwa ndo umemaliz form 4 , kwa upande wa ufundi kuweza kufika chuo kikuu au level ya degree ningumu sana, sana sana utaishia level ya cheti amabacho kwa nchi yetu utaishia kubeba toolbox kwenye viwanda vya wahindi au kwenye vijiwe .
But pia kama uko vizuri ukipitia vyuo vya ufundi ukafika level ya juu utakuwa mtaalamu mzuri.
 
hapo kwnye A Level umepatia sana tu, lakini hapo kwenye Technical Education unapotosha umma. Nani kakwambia ni vigumu kujiendeleza na mtu aliyepitia vyuo vya ufundi ataishia kwny cheti. Acha kukariri bhana.

Alafu uwe unapitia TCU Guide Book. Mbona kuna field nyingi tu za Engineering zinaruhusu mtu aliyesoma diploma fulani anaweza kusoma Bachelor degree ya Engineering nyingine tofauti na ile aliyoisoma at diploma level.
 
Advance utapoteza muda wako bure pia kufail ni nje nje, nakushauri nenda tech
 
Mkuu unachosema ni sawa ila hakipo applicable Tanzania. Elimu yetu inatuandaa ku crame majibu na kujibu maswali ya mtihani tu. Haituandai kupambana na maisha ya mtaani. Matokeo yake vijana wetu waliomaliza chuo kikuu kila siku wanatembea kule mjini na bahasha za kutaka ajira. Why utafute ajira kama uliandaliwa kutumia ujuzi wako? Wewe ndio unatakiwa uajiri watu!

Hapana, huwezi kuwa na first class undergraduate degree ukakosa kazi, If you are smart to that level huwezi kosa kazi kwa sababu at any rate you will be short listed during application and consequently interviewed! Degree ya karai utapata tabu kuajiriwa kwa sasa maana waombaji ni wengi. Sasa kuliko kukutwa na dhahama hiyo nenda ufundi! Utajiajiri! Hata mimi wanangu ambao naona A level itawasumbua wamekwenda ufundi na hawakosi angalau mkate wao wa asubuhi. Angalia ushauri wa post 5 hapo juu
 
Kwa maisha na mfumo wa Tanzania ulivyo kwa sasa nakushauri uende Technical College.
 
Hapana, huwezi kuwa na first class undergraduate degree ukakosa kazi, If you are smart to that level huwezi kosa kazi kwa sababu at any rate you will be short listed during application and consequently interviewed! Degree ya karai utapata tabu kuajiriwa kwa sasa maana waombaji ni wengi. Sasa kuliko kukutwa na dhahama hiyo nenda ufundi! Utajiajiri! Hata mimi wanangu ambao naona A level itawasumbua wamekwenda ufundi na hawakosi angalau mkate wao wa asubuhi. Angalia ushauri wa post 5 hapo juu

1st class lazima upate kazi ukimaliza? $awa amini hivyo hivyo.
 
hapo kwnye A Level umepatia sana tu, lakini hapo kwenye Technical Education unapotosha umma. Nani kakwambia ni vigumu kujiendeleza na mtu aliyepitia vyuo vya ufundi ataishia kwny cheti. Acha kukariri bhana.

Alafu uwe unapitia TCU Guide Book. Mbona kuna field nyingi tu za Engineering zinaruhusu mtu aliyesoma diploma fulani anaweza kusoma Bachelor degree ya Engineering nyingine tofauti na ile aliyoisoma at diploma level.

Naomba unielewe mie mwenyewe nimepita ufundi bahati nzuri niliapasua na kuendelea na degree yangu vizuri , ninachosema mie nikuwa na wigo wa kuchagua fani zingine ni mdogo kwa mtu aliyepitia ufundi maana specialisation unaaza immediately , chukulia mafano wa mtu anayeenda kusoma certificate au diploma au FTC ya civil Engineering huyu mtu hawezi hawezi baadae kusomea Electronics au Electrical engineering, inabidi uendelee na Civil engineering au kama ulianza na telecommunications Engineering basi itabidi wewe uendelee na hiyo hiyo kozi.
Na kwa uelewa wa kijana aliyemaliza form 4 ni mdogo kujua professional yake mapema hasa kwa Tanzania.
 
All are good, depending what a person need however I would love more some one who goes straight to college because atakuwa tayari with profession tofauti na mtu anayemaliza form six anakuwa yupo tu with no profession na bahati mbaya akifanya vibaya advance ndio kabisa inabidi atumie mpaka vyeti vyake vya form four kupata japo ujuzi utakomfaa.
Japo pia suala hili linategmea sana uwezo wa mtu na nini malengo yake baade.
 
Back
Top Bottom