usichanganyikiwe na majina. Mfumo wa elimu wa sasa uko katika levels mbali mbali on your way to chuo kikuu. Unaweza ukatoka o-level, kisha ukasoma NTA lavel 4 na NTA level 5 ukapata cheti cha clinical assistant(certificate), ukiongeza mwaka mmoja, unapata level NTA level 6 (diploma) and form hapo baadhi ya vyuo vingi vinapokea diploma in clinical medicine award (NTA level 6) kama entry qualification ya degree in medicine. Kazi kwako.kama umepata nafasi ya kusoma certificate, soma haraka na usipoteze muda