Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha! kumbe mdau mwenzangu basi pamoja nduguNgoja 2wasubiri 2po pamoja
Clinicle officer ndo
medical assistant mdogo wangu. Zamani kulikuwa na RMA yaani rural
medical aid na medical assistant then wakafuta hiyo rma ambayo ilikuwa
certificate na kufanya diploma ambayo ilibadirika toka medical assistant
Inaelekea sio mtu wa kutafuta shule, maana hata maana ya hizi kada hajui.
clinicle officer ndo medical assistant mdogo wangu. Zamani kulikuwa na rma yaani rural medical aid na medical assistant then wakafuta hiyo rma ambayo ilikuwa certificate na kufanya diploma ambayo ilibadirika toka medical assistant kuwa co.
What,nyundo
Wakuu naomba mnijuze kati ya medical assistant na clinical assistant ipi bora interm katika maslahi ili niweze kusomea kati ya hizo mbili naombeni mnijuze wakuu?