SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Bora voda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza bhanaLipa nzuri kwa mfanyabiasha ni ya voda. Unapokuwa unaitoa hela yako kutoka kwenye lain yako ya lipa huwa haina Makato. Kwa siku unatakiwa ufanye muamala mmoja.
Lipa ya tigo huwa Ina Makato kuanzia 200000 -499999 wanakato 500, kuanzia laki 5 Makato yanapanda kwa kasi.
Ila ni vizuri uwe na lipa ya voda na tigo. Kwasababu mtu wa tigo akilipa kwenda voda Makato yake ni makubwa sana kwahyo wateja watalalamika, pia mtu wa voda hawez kulipa kwenda tigo.
Nielimisheni, lipa namba ya nmb ikoje?Sahivi lipa imeanza kuwa na makato?? Au makato yameanza na mimi 🙄
Siijui sijawahi kuiona wala kutumia, nnayo ya voda na airtel nazo sahivi nimeacha kuzitumia kwasababu nikitoa pesa kwenye lipa nakatwa.Nielimisheni, lipa namba ya nmb ikoje?