Lipa nzuri kwa mfanyabiasha ni ya voda. Unapokuwa unaitoa hela yako kutoka kwenye lain yako ya lipa huwa haina Makato. Kwa siku unatakiwa ufanye muamala mmoja.
Lipa ya tigo huwa Ina Makato kuanzia 200000 -499999 wanakato 500, kuanzia laki 5 Makato yanapanda kwa kasi.
Ila ni vizuri uwe na lipa ya voda na tigo. Kwasababu mtu wa tigo akilipa kwenda voda Makato yake ni makubwa sana kwahyo wateja watalalamika, pia mtu wa voda hawez kulipa kwenda tigo.