Habari wadau, miaka ya hivi karibuni nyumba nyingi za hapa jijini Dsm zimekuwa zikiwekewa madirisha ya vioo vya ku slide na kuyapa kisogo madirisha ya mbao kwa marembo ya nondo, Je Tukizingingatia maswala ya fashion na hali ya hewa la jiji la Dsm , aina gani ya madirisha yanafaa zaidi?