Ipi bora: Madirisha ya vioo vya ku slide ama ya mbao kwa marembo ya nondo

Ipi bora: Madirisha ya vioo vya ku slide ama ya mbao kwa marembo ya nondo

Aisee ya mbao ndo kila kitu.yanadumu pia na ubora wake hauishi.Architecture nakupa kazi aisee njoo uniwekee hayo ya mbao tuelewane bei kabisa nyumba ipo mbezi.
 
Madirisha ya mbao hasa mninga na mkongo yaliyofanyiwa finishing nzuri ni mazuri na ni imara, ila kwa sasa mbao nilizozitata hapo juu ni ghari sana ukilinganisha na Aluminium au PVC. Pia mbao nazo zina tatizo la kupauka varnish/polish, ambapo mtu ulazimika kuyafanyi ukarabati kila baada ya miaka kadhaa hasa kama yanachomwa na jua kwa muda mrefu. Yote kwa yote mbao ni the best hasa zikifanyiwa finishing mzuri.
 
Aisee ya mbao ndo kila kitu.yanadumu pia na ubora wake hauishi.Architecture nakupa kazi aisee njoo uniwekee hayo ya mbao tuelewane bei kabisa nyumba ipo mbezi.

Mkuu habari yako,dah najua ukimaliza kuweza madirisha lazma utahitaji fundi Umeme hapo,Usisite kunijulisha na bei zangu n za kawaida sana,napatikana Ilala-Whatsapp 0718302132
 
Back
Top Bottom