Hali ya hewa ya DSM ipoje?.... Je Tukizingingatia maswala ya fashion na hali ya hewa la jiji la Dsm , aina gani ya madirisha yanafaa zaidi?
Hali ya hewa ya DSM ipoje?
Mi napenda ya kuslide
Mtoa mada hujui unachokitaka
Habari wadau, miaka ya hivi karibuni nyumba nyingi za hapa jijini Dsm zimekuwa zikiwekewa madirisha ya vioo vya ku slide na kuyapa kisogo madirisha ya mbao kwa marembo ya nondo, Je Tukizingingatia maswala ya fashion na hali ya hewa la jiji la Dsm , aina gani ya madirisha yanafaa zaidi?
Hivi una akili ya kuslide ni digitally na ya mbao ni analogue utachekwa mkuu
Watu wanapenda aluminium sababu yanaonekana ndiyo yanakwenda na wakati, na kama unatumia AC muda mwingi na muunekano unavutia. Aluminium yanaongeza joto.
Lakini kwa hali ya Dar ya joto, kwa kweli mbao ni nzuri zaidi na ukipata fundi mzuri utayapenda. mimi niliweka aluminium ,rafiki yangu akaweka mbao kwakweli nimemtamani.
Sema kama unataka kwenda na wakati aluminium sawa lakini mbao ni best ila yawe makubwa yanakuwa na mvuto yaidi
Tunaweka aluminium kwa kipindi hiki kwa sababu ya uhaba wa mbao. Kama ukipata mbao nzuri za kutosha ya mbao ndio yanaendana na majengo yetu. Madirisha ya kuslide sio mazuri labda yawe makubwa ya kutosha kwani yanapunguza eneo la kupitisha hewa ya kutosha! Unaweza ukaweka madirisha ya aluminium ya kufunguka vilevile.
Inategemea na Architectural specification...Habari wadau, miaka ya hivi karibuni nyumba nyingi za hapa jijini Dsm zimekuwa zikiwekewa madirisha ya vioo vya ku slide na kuyapa kisogo madirisha ya mbao kwa marembo ya nondo, Je Tukizingingatia maswala ya fashion na hali ya hewa la jiji la Dsm , aina gani ya madirisha yanafaa zaidi?
Inategemea na Architectural specification...
Inaizid kwa lipi hili la mbao?
Naona mbao ni gharama
Eneo kubwa la jiji la Dsm kuna joto na limesongamana na majengo kila upande.
AC zipo.
kwa gharama ya aluminum ni zaidi maana lazima uweke na grill juu yake!