Madirisha ya mbao hasa mninga na mkongo yaliyofanyiwa finishing nzuri ni mazuri na ni imara, ila kwa sasa mbao nilizozitata hapo juu ni ghari sana ukilinganisha na Aluminium au PVC. Pia mbao nazo zina tatizo la kupauka varnish/polish, ambapo mtu ulazimika kuyafanyi ukarabati kila baada ya miaka kadhaa hasa kama yanachomwa na jua kwa muda mrefu. Yote kwa yote mbao ni the best hasa zikifanyiwa finishing mzuri.