Ipi dawa ya kuondoka (Visunzua) vinyama vyeusi vinavyoota usoni

Caustic pencil inapatikana pharmacy watakuelekeza matumizi yake hapo utakaponunua
 
Habari wana jamvi heshima kwenu, naomba kujuzwa dawa ya VISUNZUA ili kuviondoa utumie dawa gani? Karibuni mkuu MZIZI MKAVU na wengine.

Nitafute inbox tu, huhitaji hata kwenda pharmacy kwa tatizo hilo.
 
Wakati flani nlienda pale muhimbili nikakutana na dr bingwa wa ngozi nikamuuliza kuhusiana.na hivi vinyama ambavyo alinambia viniatwa skin tag. Alisema havina madhara vikikatwa. Mtaani huwa wansema wanavifunga uzi mpaka vikatike.
 
Au navichanganya maana ninavyovijua mimi ni zile zinakuwa kama vipele vilivyokomaa haviminyiki wala havijatuna
 
Habari wana jamvi heshima kwenu, naomba kujuzwa dawa ya VISUNZUA ili kuviondoa utumie dawa gani? Karibuni mkuu MZIZI MKAVU na wengine.

Castor Oil & Baking Soda
This is an easy skin tag removal method. Mix baking soda and castor oil and form a thick paste. Apply this paste on the skin tag and cover it. Leave it for a night. Wash it with warm water, the next morning. Repeat this process for about 10 days until the tag totally vanishes.

Home-Remedies-for-Skin-Tag-Removal-.jpg
 
Wakati flani nlienda pale muhimbili nikakutana na dr bingwa wa ngozi nikamuuliza kuhusiana.na hivi vinyama ambavyo alinambia viniatwa skin tag. Alisema havina madhara vikikatwa. Mtaani huwa wansema wanavifunga uzi mpaka vikatike.
vile vya zitto au Wasira pia vinawezakufungwa nyuzi?
 
Castor Oil & Baking Soda
This is an easy skin tag removal method. Mix baking soda and castor oil and form a thick paste. Apply this paste on the skin tag and cover it. Leave it for a night. Wash it with warm water, the next morning. Repeat this process for about 10 days until the tag totally vanishes.

View attachment 453154
vipi kuhusu vile vinaota pembeni mwa macho? sio vikubwa kama hivyo! dawa yake nini
 
Katika hili ningependa kufahamu zaidi.
 
chukua uzi kifunge sehem kinapootea then kaza kwa nguvu hadi kikatike (kama unaweza kivumilia maumivu) au funga then uwe unakaza kidogo kidogo after some time kinakatika
 
Castor Oil & Baking Soda
This is an easy skin tag removal method. Mix baking soda and castor oil and form a thick paste. Apply this paste on the skin tag and cover it. Leave it for a night. Wash it with warm water, the next morning. Repeat this process for about 10 days until the tag totally vanishes.

View attachment 453154
Mkuu MziziMkavu dawa haitaunguza hii? Au kuwa kali? Anatakiwa atumie kiasi gani kwenye affected area? Maana wengine wana ngozi laini isije ikawa shida.
 
Back
Top Bottom