Ipi dawa ya kuondoka (Visunzua) vinyama vyeusi vinavyoota usoni

Ipi dawa ya kuondoka (Visunzua) vinyama vyeusi vinavyoota usoni

dawa ni chukua uzi wa manila mwembamba kifunge kwa chini. hakikisha kimwefungwa kabisa. baada ya siku 5 kinakatika n.a. hakirudi tena. kuna vimaumivu kiuwasho kidogo kuanzia siku ya 4. try and come back.
 
Dawa Ni WARTS REMOVING SOLVENT au WARTS REMOVING PAINT Ipobkama Iodine tincture ila una paka kisunzua kimoja au VIWILI halafu zitapukutika zote
 
Uzi wa zamani, ila km kuna mwenye solution mpya aweke hapa

Mi nnacho kwenye jicho asee, kinanikosesha raha kbs na mambo ya kukata naona km risky
 
Back
Top Bottom