Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Uzi wa zamani, ila km kuna mwenye solution mpya aweke hapa
Mi nnacho kwenye jicho asee, kinanikosesha raha kbs na mambo ya kukata naona km risky
Tumia dawa hio wart remover,au km utaona ngumu kuipata tumia Kitunguu Swaumu,Kitunguu Maji ( vikwangue viwe topetope) Limao na Packing Soda changanya,paaka ktk Visonzua (Warts) siku 10 vitaisha vyote.Uzi wa zamani, ila km kuna mwenye solution mpya aweke hapa
Mi nnacho kwenye jicho asee, kinanikosesha raha kbs na mambo ya kukata naona km risky
Kuna dawa INAITWA WARTS REMOVING PAINT au TAFUTA WART REMOVER LIQUID.Mliopata dawa mje mtoe ushuhuda iwe faida kwa wengi
Hi ni nzuri NILISHA tumia Ina harufu Kama iodine tincture vile unapaka kwa ncha ya kakijiti pale TU penye sunzua isiguse ngozi ya kawaidaTumia dawa hio wart remover,au km utaona ngumu kuipata tumia Kitunguu Swaumu,Kitunguu Maji ( vikwangue viwe topetope) Limao na Packing Soda changanya,paaka ktk Visonzua (Warts) siku 10 vitaisha vyote.
Alafu ulete mrejesho.View attachment 1753289
Haina maumivu kweli hii?Hi ni nzuri NILISHA tumia Ina harufu Kama iodine tincture vile unapaka kwa ncha ya kakijiti pale TU penye sunzua isiguse ngozi ya kawaida
Maduka ya Famasi inaitwa ivyo ivyo na inauzwaje madukaniDawa Ni WARTS REMOVING SOLVENT au WARTS REMOVING PAINT Ipobkama Iodine tincture ila una paka kisunzua kimoja au VIWILI halafu zitapukutika zote
Haina maumivu kabisaa isipokuwa usidondoshe pasipo na sunzua inatoboaHaina maumivu kweli hii?