Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

Kila mtu anao uhuru wa kufikiri na kusema atakavyo. Iwe ni mgambo, mama ntilie au rais mstaafu. Kama maoni ya mtu yakikukera unatulia unapiga malimao unatulia. Katiba hurekebishwa na bunge hivyo anachosema Mwinyi ni maoni yake tu.
Uko sahihi lakini siyo kuongea Upumbavu...
 
mzee wa miaka 95 akiongea chochote na kukosea ni wakusamehewa tu
 
Katiba huwaga zinabadilishwa na ana haki ya kutoa maoni kama weee ulivyo na haki hiyo. Kumzuia mtu kutoa maoni ni wewe sasa unavunja katiba na siyo yeye. Elimikeni.
 
Unataka Kutuaminisha Wewe una Uwezo Kiakili kuliko huyo Mzee aliyekuwa Raisi awamu ya Pili unafikiri Mzee atakuwa amesema Katiba iende likizo kwa maana ya Iende likizo? Hebu mjuage kujiongeza
 
Huyu mzee afadhali angetangulia yeye
 
Hapa ndipo namuona yule kijana Ibrahim Said Sultan (RIP) aliyempiga kofi Ally Hasssan Mwinyi kama shujaa wa Taifa mwenye maono.

TANZIA: Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…