Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Alienda kutetea maslai ya familia yake na sio kutetea taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo saa12 jioni Hana hasara.Sasa ndiyo aongee upoyoyo huku akijua influence yake kwa jamii?
Kulikuwa na majina matatuBandugu,
Mwinyi hakuwa chaguo la Mh JKNyerere. Nyerere alimtaka Mh Salim, ila Wazanzibari waliungana na kumkataa.
Wakiungana na baadhi ya vigogo wa Bara ndani ya NEC, Wazanzibari WAKAMTAKA Mh Mwinyi.
Alipokuwa anakaribia kumaliza kipindi chake palianza porojo kama hizihizi za kurekebisha katiba ili Mwinyi aondolewe kikomo cha muda wa Urais. Porojo hizo zilongozwa na Mh Kolimba zikaungwa mkono na Mh Malecela na kuungwa mkono na wenye njaa zao.
Mh Mwinyi hakuwahi kuonyesha kukataa wala kukataza ujinga huo mpaka Mwl Nyerere alipoingilia na kukwamisha matamanio yake.
Salim Ahmed SalimSAS ndio nani boss
sio hana muda wa kuumiza akili, yaani akili yenyewe ndo hamna hata akiumiza kichwa akili inayotoka ni makapi na machicha tupu!!Hivi wazee wetu wenye miaka 90+ kule vijijini kwetu wakiongea hivi uwa wanaongea jambo gani la maana?
Hapa wa kumshangaa ni Magufuli anayempaga mic huyu mzee ili atuchekeshe wajukuu na vitukuu vyake,sasa vichekesho vyake ni kwenye mambo serious ya nchi.
Ukiyashangaa ya Mwinyi utayaona ya Mugabe(R.I.P) wa Zimbabwe. Huyu mzee awe ankuja kwenye vikao lakini hasiongee wanamchosha tu mzee watu,hana muda wa kuumiza akili.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ni huko kwenye siasa zenu za majitaka ndio mnamfuga. Huku kwenye dini akipuyanga tu huwa anakula mibao
Daaah sasa si unaona mama ake alivyoHalafu kweli maana hata hawafanani huyu mmoja black mtoto shombe shombe..
Umri ukisogea sana na uwezo wa kiufahamu unapungua mno!! Mzee kala chumvi anaikaribia karne kwhyo kwq tulioishi na wazee kama hao tunajuaUpo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.

Wajumbe walielewa mchezo wa Nyerere wa kuwachagulia viongozi,safari hii ilikuwa Raisi wa Jamhuri atoke Zanzibar.Bandugu,