Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Una kumbukumbu nzuri mkuu, uliyosema ni kweli alipindua meza.Hakuwa chaguo la Mwalimu.............Chaguo lilikuwa SAS......
Mwinyi alipindua meza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kumbukumbu nzuri mkuu, uliyosema ni kweli alipindua meza.Hakuwa chaguo la Mwalimu.............Chaguo lilikuwa SAS......
Mwinyi alipindua meza
Mzee Mwinyi ana umri wa miaka 95. Uliza madaktari wa binadamu wakudadavulie athari za umri kwenye ufahamu, kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Huyu mzee anastahili kuheshimiwa na kuchukuliwa jinsi alivyo kutokana pia na makamo yake.Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Hatuna Baba wa Taifa kwa sasa Mkuu. Mwalimu angekuwa hai angemchana huyo dikteta hadharani bila woga na hao wanafiki wa ccm wangekuwa upande wa Mwalimu.
Mzee Mwinyi ana umri wa miaka 95. Uliza madaktari wa binadamu wakudadavulie athari za umri kwenye ufahamu, kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Huyu mzee anastahili kuheshimiwa na kuchukuliwa jinsi alivyo kutokana pia na makamo yake.
Huko kwenu hakuna wazee?
Amemis ile kelebu.
Yule jamaa alisota rumande akagundulika ana matatizo ya akili, aliachiwa ila baadae alikuja kufariki.Hivi ile issue iliishia wapi mkuu kama una kumbukumbu tafadhali
Kwa hiyo unapinga kuhusu umri wa Mzee Mwinyi? Unapinga kwamba akili hubadilika na kudhoofu uzeeni? Unapinga kuhusu kusamehe hali hiyo? Unapinga nini hasa?Wacha kutulazimisha kukubali yasiyo stahili
Kina mchungaji yule wa dodomaYule jamaa alisota rumande akagundulika ana matatizo ya akili, aliachiwa ila baadae alikuja kufariki.
Huyu alikuwa na mipango ya muda mrefu, na Leo kile alikuwa nakapigania kimefanikiwa-mtoto wake anaenda kuwa Rais wa wazanzbari. Sio ajabu atendelea kulia lia kwa jp ili akitoka huko apewe na huku bara.Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Nani kakwambia kua Hussein ni mtoto wa Mwinyi
Mkuu usiku huu naweza nisirudi tena....naomba uniombee tu.Roho yangu ina makosa kwa binadamu ila si kwa MunguKwahiyo ni mtoto wa KINGUNGE au sio.
Tunashukuru kwa kulitambua hili kwamba Mwinyi ndie rias mtarajiwa Zenji.Mzee RUKHSA si Baba wa Taifa Mkuu huyo ni Baba yake Hussein Mwinyi Rais mtarajiwa wa Zenj. Hana sifa wala hadhi ya kupewa huo wadhifa.
Kweli kabisa..Hussein Mwinyi mtoto wa mke wa Mzee Mwinyi ndiye mkoloni wa Zanzibar maana wananchi watashindwa kama ilivyokua kwa Maji Maji,Shona na Ndebele,Nama na HereroTunashukuru kwa kulitambua hili kwamba Mwinyi ndie rias mtarajiwa Zenji.
Sasa mshauri Seif amuunge mkono
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wazee wapuuzi kama hao ni hasara kwa nchi binafsi mpaka sasa sijaona jipya lilifanywa na huyo wanaemtukuza ambalo wenzie hawakufanya! isipokuwa kuwa ninachojua nikwamba wanacccm wengi wanashangilia sababu anatumia mkono wa chuma kuzuia wapinzani wake kufanya siasa na hata wasio na uwezo wakujenga hoja huko nao wanataka uongozi wakiamini watapita sababu dola inawabeba lkn kwenye ulimwengu wa watu wasiotumia utumbo kufikiri huyo ndugu hana la maana lakuwazidi watawala wenzieUpo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Ha ha ha now mnaishi kwa huruma yakeWewe Mwanao angepewa Urais pengine ungeenda mbali zaid
Mwacheni Mzee wa watu akili zimruke, Jpm angeamka vibaya si angelifyeka tu jina la mwanae
SAS ndio nani bossHakuwa chaguo la Mwalimu.............Chaguo lilikuwa SAS......
Mwinyi alipindua meza
Kwa mtu mwenye akili ile kuwaza tu jambo kama lile tayari hana akiliUnajua,tujifunze maana ya uhuru wa mtu kutoa maoni,na mzee mwinyi hajaongea kitu kibaya,mradi tu kiridhiwe na watanzania wote,na sababu zake amezitoa kwanini anaomba magu apewe zawadi ya miaka 5 kuongoza