Abubakar Karsan
Member
- Oct 27, 2019
- 62
- 45
Unajua,tujifunze maana ya uhuru wa mtu kutoa maoni,na mzee mwinyi hajaongea kitu kibaya,mradi tu kiridhiwe na watanzania wote,na sababu zake amezitoa kwanini anaomba magu apewe zawadi ya miaka 5 kuongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa rafiki ila usiseme mambo ya DNA
Yes,you didn't know about DNAAcha uongo! Hussein ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi, Mke wa Mwinyi ni Mwarabu incase you didn't know!
Achana na mimi wewe,uliwai kwenda Uarabuni kufanya biashara na mama huyu alikua afanyi biashara huko sasa unataka kusema mtoto wa rafiki na Waarabu dada lazma asizae na uzao wa kiarabu.Acha uongo! Hussein ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi, Mke wa Mwinyi ni Mwarabu incase you didn't know!
Achana na mimi wewe,uliwai kwenda Uarabuni kufanya biashara na mama huyu alikua afanyi biashara huko sasa unataka kusema mtoto wa rafiki na Waarabu dada lazma asizae na uzao wa kiarabu.
THANKS OMAN
analipa fadhila mtoto wake wanainchi wasipige kuraUpo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Diploma si haba!
Getruda MongellaAlikuwa chaguo la nani?
Weka picha,acha gubu!Acha uongo! Hussein ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi, Mke wa Mwinyi ni Mwarabu incase you didn't know!
Wivu wa kununuliwa chakula,chupi,suruali nk...aiseeWivu ni Kidonda. Get well soon!!!
Mkuu sasa nani atakuwa ni baba wa taifa?
Hatuna Baba wa Taifa kwa sasa Mkuu. Mwalimu angekuwa hai angemchana huyo dikteta hadharani bila woga na hao wanafiki wa ccm wangekuwa upande wa Mwalimu.