Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mzee kamwaga utumbo mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!

Mkuu hujui ya kwamba Mzee Mwinyi alipewa uraisi na Hayati J.K.Nyerere kwa sababu ilikuwa ni rahisi sana kwa Nyerere kumthibiti yaani yeye pale alikuwa kama TV rimoti alikuwa nayo Baba wa Taifa
Kabisa kabisa Mkuu, huyu wa sasa atakuleteeni Hussein Mwinyi iwapo ATAKUBALIA kuachia madaraka akiona inafaa. Mark my words.Mkuu, huyu Mzee ni wa kumsamehe bure tu, kwa kuwa alitamka hivyo kwa kusukumwa na mhemuko uliotokana na mwanaye kuweza kuchaguliwa kuwa mpeperusha bendera wa nafasi ya uraisi kwa upande wa Tanzania Visiwani. Hili lilikuwa ni tamanio lake la muda mrefu, na hivyo kuona kuwa amepewa upendeleo mkuu.
Pia ukweli ni lazima uwekwe wazi, ktk michakato ambao CCM iliweza kutuletea viongozi pasipo kuchukua tahadhari yoyote ile, ilikuwa ni kipindi cha awamu ya kwanza na hatimaye Mzee Mwinyi akaingia madarakani. Na pia katika kipindi cha awamu ya nne na hatimaye Mheshimiwa wa sasa akaingia madarakani.
Lakini jambo moja linanishangaza na kunifanya niweze kutafakari kwa kina zaidi. Majina ya kwanza ya Rais wa awamu ya kwanza lilikuwa ni Julius, awamu ya nne lilikuwa ni Jakaya, na awamu hii ya tano ni John. Japo mimi si mpiga ramli, lakini huu mfanano wa herufi za kwanza za herufi "J" ktk majina yao, zinatupa "general rule" kuwa hawapo makini kusimamia vyema michakato ya kutuletea warithi wazuri wa nafasi za pale wanapostaafu. Kwa pengine hata kwa John tutegemee mambo kama hayo.
Ruksa! Unless haujamjua bado. Yeye Kila kitu ruksaUpo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Temea mate juu!!!!Huyo mzee hana faida yoyote kwa nchi labda familia yake.
Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Katiba sio msahafu acha upumbavuUpo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.
Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.
Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.
Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Alienda ili ajulikane ndiye baba wa HUSSEIN ila hawajawahi ata kupima DNA
Wewe Mwanao angepewa Urais pengine ungeenda mbali zaid
Mwacheni Mzee wa watu akili zimruke, Jpm angeamka vibaya si angelifyeka tu jina la mwanae
Mkuu unaweza kutuwekea nukuu au sauti yake halisi mahali ambapo amesema(amehimiza) "katiba iende likizo"?Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.
Naomba upitie kidogo hapo ndio utajua namaanisha nini..Sio kweli. Chaguo la Mwalimu: Salim Ahmed Salim... Mwinyi 'alipindua meza' wakati wa dakika za nyongeza...
Mzee RUKHSA si Baba wa Taifa Mkuu huyo ni Baba yake Hussein Mwinyi Rais mtarajiwa wa Zenj. Hana sifa wala hadhi ya kupewa huo wadhifa.