Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
642
Naomba msaada wenu wakuu. Nimezishotilist hizi gari tatu ili ninunue mojawapo.
Vigezo
Uimara kuhimili safari za vijijini kuwaona wazee
Confortability
Upatikanaji wa spea

Uchunguzi nilioufanya unaonesha kuwa kodi ya prado na grand escudo ni sawa ila ya kluger ipo chini kidogo. CIF ya grand escudo ipo chini kidogo ukilinganisha na prado

Kwa utashi wangu nimezirank kama ifuatavyo
1. Suzuki grand escudo
2. Toyota prado
3. Toyota kluger

Mimi napenda sana gari yenye back tire
Karibuni kwa ushauri wakuu
 

Guta tu ndiyo mpango mzima.
 
Nimeendesha gari nyingi sana ila bahati mbaya sina experience na Suzuki Grand Vitarw, ingawa kwa haraka naweza kuifananisha na Rav4 Kili Time!

Kluger ni nzuri sana ingawa haina back up tyre!

Prado iko poa sana ingawa tatizo lake kubwa ni kuchomoka ball joints, ingawa huwa hazichomoki ukiwa kwny hi speed!
 

umesahau kimoja mkuu, escudo ni cc 2000 wakati prado ni kati ya 2400 hadi 4000.

halafu hio prado hujasema model ipi zipo nyingi sana.

though kwa offroading prado iko vizuri maana iko juu, japo pia zile zx, landcruiser 2, pamoja na ile model ya prado za mwanzo ni very easy ku overturn kwenye speed ama kwenye kona.
 
Hivi suzuki grand vitara ni sawa na suzuki grand escudo? Mimi huwa naziona grand escudo, sijawahi ona grand vitara
 

Mi naongelea Suzuki grand escudo ambazo zina seat 7 na cc kati ya 2300 na 3000
 
Prado Heshima! Kama una mpunga vuta moja. Tena ukifanikiwa kupata ya diesel yenye turbo, utakuwa umeukata! Ila angalia zina tabia ya kuchomoka tairi!
 
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
 

Prado ndio shida yake kubwa, kwenye high speed huwa haitulii road. I opted for escudo 2007 and it pays off ingawa siendi nayo upcountry!

I suggest go for it ila kaushuru baba andaa 13m ama zaidi hasa kama utachukua nzee (zee)
 
Prado Heshima! Kama una mpunga vuta moja. Tena ukifanikiwa kupata ya diesel yenye turbo, utakuwa umeukata! Ila angalia zina tabia ya kuchomoka tairi!
Sijajua kwa nini, ila mafundi wa Toyota Tanzania Limited, walinishauri nisinunue prado za Diesel... Sifahamu kama ilikuwa specific kwa model yangu au la...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…