BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
Hili ndilo tatizo kubwa kwny Prado, nimewahi kuchomokewa zaidi ya mara3, ingawa thanx God huwa hazichomoki kwny high speed!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
Sijajua kwa nini, ila mafundi wa Toyota Tanzania Limited, walinishauri nisinunue prado za Diesel... Sifahamu kama ilikuwa specific kwa model yangu au la...
Binafsi sijawahi endesha gari ya diesel, ila huwa naona kuna watu wana hype na hizo gari.Vipi hujajua kwanini mkuu, nani anataka gari la Diesel sikuhizi ? Unless kama unatafuta gari la kwenda kulimia kijijini hapo sawa...!
Nimeendesha gari nyingi sana ila bahati mbaya sina experience na Suzuki Grand Vitarw, ingawa kwa haraka naweza kuifananisha na Rav4 Kili Time!
Kluger ni nzuri sana ingawa haina back up tyre!
Prado iko poa sana ingawa tatizo lake kubwa ni kuchomoka ball joints, ingawa huwa hazichomoki ukiwa kwny hi speed!
Vipi hujajua kwanini mkuu, nani anataka gari la Diesel sikuhizi ? Unless kama unatafuta gari la kwenda kulimia kijijini hapo sawa...!
ndo iyo iyo...Hivi suzuki grand vitara ni sawa na suzuki grand escudo? Mimi huwa naziona grand escudo, sijawahi ona grand vitara
View attachment 275673
Kama hii si ndio?
Hivi suzuki grand vitara ni sawa na suzuki grand escudo? Mimi huwa naziona grand escudo, sijawahi ona grand vitara
View attachment 275673
Kama hii si ndio?



Sijajua kwa nini, ila mafundi wa Toyota Tanzania Limited, walinishauri nisinunue prado za Diesel... Sifahamu kama ilikuwa specific kwa model yangu au la...
Guta tu ndiyo mpango mzima.
Escudo nimeiondoa. Bado sijaona kasoro za Kluger achilia mbali muonekano wake mimi siupendi. Kwa hiyo
1. Kluger
2. Prado


Ok. Ngoja nitaingia kwenye mtandao niziangalieKama unataka kwenda off road, chukua Prado. Kluger nyingi ni just front wheel drive, though kuna baadhi ambazo ni AWD, which in reality huwezi ilinganisha na Prado yenye 4WD.
Ila Prado ya kununua ni J120 model year 2002 onward. Hii ni land cruiser kamili.
View attachment 275725
Ile J90 ya 1996 to 2001 year model sio land cruiser kamili, it is basically a toyota hilux surf, maana zimetengenewa kwa same platform.
View attachment 275727