Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Naomba msaada wenu wakuu. Nimezishotilist hizi gari tatu ili ninunue mojawapo.
Vigezo
Uimara kuhimili safari za vijijini kuwaona wazee
Confortability
Upatikanaji wa spea

Uchunguzi nilioufanya unaonesha kuwa kodi ya prado na grand escudo ni sawa ila ya kluger ipo chini kidogo. CIF ya grand escudo ipo chini kidogo ukilinganisha na prado

Kwa utashi wangu nimezirank kama ifuatavyo
1. Suzuki grand escudo
2. Toyota prado
3. Toyota kluger

Mimi napenda sana gari yenye back tire
Karibuni kwa ushauri wakuu
Hivi kuna kluger zina back tire mkuu?
 
Kluger ipi? Hizi mpya za kuanzia 2012 au?
9eb17b5cedb2b0e6649a3345803d5ef5.jpg
77b49dc139783e5c629321a7a21ea9d9.jpg
a3ce892d517c0a806714598cae683cd0.jpg
70cb19943aea988336f92700c513dd40.jpg
 
Kuna mzungu anauza klugger ameondoka na kumuachia Rafiki yake amuuzie
 
Back
Top Bottom