IPi gari bora kati ya hizi

IPi gari bora kati ya hizi

Unazifaham kwa kuziangalia?yenye nafasi kubwa ndani hapo ni raum chukua iyo gari kama una familia ndogo.
 
Yaani unataka gari bora ya kuendea kanisani??..mbona kama sijakuelewa..kuna uhusiano gani kati ya aina ya gari na ibada?
 
Yaani unataka gari bora ya kuendea kanisani??..mbona kama sijakuelewa..kuna uhusiano gani kati ya aina ya gari na ibada?
akiwa anakwenda kwenye ibada anaenda na familia hivyo anakusudia kati ya gari tajwa hapo juu ni ipi itamfaa yenye nafasi ya kumwezesha kutosha.

mm ningemshauri achukue raum new model ina nafasi ya kutosha
 
Raum inafaa zaidi kwenye familia ndogo anza na hiyo baadae Prado au cluser
 
Umewekea mkazo Sana kanisani, unataka kuoa mkuu? Raum new model ni economical na zina nafasi
 
Wakuu naombeni ushauri kati ya gari hizi nataka kagari cha kwendea kanisani kipi ni imara na ina nafasi ndani.RAUM new model,vitz old model na swift 1.3

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Mkuu Nunua suzuki Vitara/escudo utafurahi popote unaenda mkuu na gari ngumu sana.
 
Unaongelea gari yenye nafasi halafu unataja vitz na swift are u serious?
 
Back
Top Bottom