Ipi gari bora kati ya Rav 4 na Hilux surf

Samawia

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
592
Reaction score
462
Nipeni msaada Wakongwe kwenye masuala ya magari,ipi ni gari imara na spare za bei nafuu pamoja na ulaji kidogo wa mafuta kuliko kuliko nyingine? Pamoja na sifa zingine za ziada, navunja kibubu changu mwezi June 30 nataka ninunue mojawapo ya hizo gari mbili.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mkuu unaringanisha toyota ya mwaka 2019 na surf toyota kwenye pich yako kinkama mwaka 2003 mpka 56. iyo rav 4 adventure ni bora kwa kila kitu mkuu yan dar na unasema budget ipo nunua rav 4 adventure iyo uinjoy technology 2019😅😅
Budget ipo suala liliko hapa ni kutaka kujua kitu imara bora kuliko kingine,yote nayamudu kununua

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO
 
sasa mkuu unaringanisha toyota ya mwaka 2019 na surf toyota kwenye pich yako kinkama mwaka 2003 mpka 56. iyo rav 4 adventure ni bora kwa kila kitu mkuu yan dar na unasema budget ipo nunua rav 4 adventure iyo uinjoy technology 2019[emoji28][emoji28]
Sawa mkuu,Sasa je yote mawili yangekuwa ya 2019 ungenishaurije mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako liko too general,toa specification yani Rav 4 ya mwaka gani na Surf niya mwaka gani? Hizo picha ulizoweka hazina uwiyano hata kidogo
 
Kama magari yote ni ya mwaka mmoja.....surf ni imara zaidi ya RAV4....surf ni heavy duty.
Lakini kwa trend ya sasa, Toyota fortuner is better than RAV 4 ×100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…