Ipi Gari bora kati ya T Harrier,Escudo na RaV4 or RAVj?

Ipi Gari bora kati ya T Harrier,Escudo na RaV4 or RAVj?

Nunua Toyota Cami au Terios cc 650 hutajutia matumizi ya mafuta na safari za mbali utaenda bila shida.
 
Rav4 J sio kabisa, hizo gari ni za kwenye lami tu....lkn sisi wengine root zetu hadi rough road na miinuko hazitufai kabisa...inaAccerelate sana lkn nguvu ya kupnda mlima wa vumbi zero kabisa.

bora harrier au kluger.

utaje na toleo la mwaka gani maana kuna rav4 j matako ya bibi na kili time
 
utaje na toleo la mwaka gani maana kuna rav4 j matako ya bibi na kili time
hahahha [emoji23][emoji28][emoji23] toleo za 2001-2004 ss sijui ndo mat*ko ya bibi sijui kwakweli...
 
Back
Top Bottom