project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Van gadi ni nzuri ila ubovu wake ni sistim ya stering power ndio walikokosea haidum sijui kwa niniWakuu natumaini ni wazima naomba kufahamishwa ipi gari nzuri kati ya vanguard na harrier in terms of comftability ,matumizi ya mafuta , usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu
Umeendesha vanguard ngapi mkuu? Au wewe ni fundi?Van gadi ni nzuri ila ubovu wake ni sistim ya stering power ndio walikokosea haidum sijui kwa nini
Haria hujasema aina gani old au new
Wakuu natumaini ni wazima naomba kufahamishwa ipi gari nzuri kati ya vanguard na harrier in terms of comftability ,matumizi ya mafuta , usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu
Vanguard na yule Pacha wake RAV4 zina issue ya steering rack, whatever it is zinakufa mara kwa mara.Umeendesha vanguard ngapi mkuu? Au wewe ni fundi?
Inategemea na jinsia ya mmiliki VANGUARD (ME)Hizi gari ni kama zina kiwango sawa, bali ki-muonekano Harrier ni nzuri
Mkuu hili tatizo lipoje, je linarekebishika? Kuna jamaa yangu anataka kuagiza hiyo Gari aiseeVanguard na yule Pacha wake RAV4 zina issue ya steering rack, whatever it is zinakufa mara kwa mara.
Mkuu hilo tatizo la Steering wanalosema linatibika? Kuna jamaa anataka kuagiza hiyo gari na aliniomba ushauriTukicompare base models za Harrier na Vanguard ambazo zote zina engine za 2.4L.
Zote zipo Comfortable
Vanguard ina Consumption nzuri ya mafuta sababu ya CVT transmission.
Hicho kipengele cha usalama kwa safari ndefu sijakielewa.
Kwa kuongezea tu
CVT haitaki agressiveness pamoja na oil zisizo zake. Kwa maana ikishaanza kukusumbua anza kufikia gearbox mpya. Ila ni gearbox nzuri kama utaitunza
Tatizo la JF watu watakupa tahadhari hadi za Bugatti na matatizo yake🤣🤣🤣Mie ninayo mwaka wa nne haijasumbua steering
Mkuu hilo tatizo la Steering wanalosema linatibika? Kuna jamaa anataka kuagiza hiyo gari na aliniomba ushauri
Vanguard imekaa kiumeWakuu natumaini ni wazima naomba kufahamishwa ipi gari nzuri kati ya vanguard na harrier in terms of comftability, matumizi ya mafuta.
Usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu.
Ok, asante sana kwa ufafanuzi.Issue ni kuwa steering ni ya umeme, ikifa ni kununua mpya tu. Na labda si mfumo unaovumilia shida kama hydraulic. Hata hivyo magari kadhaa ya kisasa wanatumia electric steering pia eg subaru forester n.k Lakini sidhani kama ni ubovu wa kutisha kwenye vanguard, watumiaji wengine watasema. Bei ya steering yake mpya ni kuanzia 450K mpaka 800K kutegemeana unanunua ipi na wapi.
Engine na gearbox wamepatia
Unanunua tu used from 400,000-600,000. Kama unaweza kutoa 35m kununua Vanguard haiwezi kukushindaMkuu hili tatizo lipoje, je linarekebishika? Kuna jamaa yangu anataka kuagiza hiyo Gari aisee