project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Wakuu natumaini ni wazima naomba kufahamishwa ipi gari nzuri kati ya vanguard na harrier in terms of comftability, matumizi ya mafuta.
Usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu.
Usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu.