Ipi gari bora kati ya Vanguard na Harrier?

Ipi gari bora kati ya Vanguard na Harrier?

Van gadi ni nzuri ila ubovu wake ni sistim ya stering power ndio walikokosea haidum sijui kwa nini
Haria hujasema aina gani old au new
Wabongo kwa U-KASUKU hamjambo, wewe ni fundi wa magari? Unalo gari ambalo umetengeneza wewe mwenyewe, ili tulinganishe?
 
Vanguard iko stable zaidi na engine-gearbox setup yake ni nzuri zaidi . Kama anasafiri pia hata mara moja moja bora achukue van guard
Yah mm nishawahi kutoka mtwara to Tarime kwa vanguard na kurudi..sijawah kwenda na harrier
 
Vanguard iko stable zaidi na engine-gearbox setup yake ni nzuri zaidi . Kama anasafiri pia hata mara moja moja bora achukue van guard
Mkuu Vanguard naipenda nataka kuagiza, ila jamaa yangu kanistua kwamba haina sehemu ya kuweka spare tire.
Kwa waliokwisha kununua hii gari, hilo limekaaje?
 
Back
Top Bottom