Ipi gari maarufu (wengi wanamiliki) mkoani kwako? Ipi gari maarufu kwenye nchi uliotembelea?

Uzi haujakaa vizuri member wengi wa jf wanaficha ID zao kwa sababu wanazozijua wao, unataka kujua mkoa walipo unazani watafungua code, watakudanganya tu ungetafuta namna nyingine.
 
Arusha wanapenda utofauti yani mtu anajiona fahari kutofautiana na wengine kwa gharama yoyote, yani mtu anamiliki mgongo chura left hand au kombi gharama aliyotumia kupimp unanunua crown tatu.
 
Je huo mgongo wa chura unaweza safiri nao toka Arusha hadi Mwanza? Au ni kwa ajili ya ku cruise tu..
 
Back
Top Bottom