Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
720
Reaction score
644
Wazee,

Ushauri unahitajika. Karibuni.

Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
 
Haya ndio yakuongoze katika ununuzi wa gari.

Matumizi ya gari mfano kwenda kazin na kurudi chap barabara ikiwa rafiki chukua hata ki vitz achana na stress

Kipato chako.

Mahala unapo kaa kwa maana ya upitikaji wa barabara

Urahisi wa kulihudumia kwamaana ya upatikanaji wa mafundi na spares
 
premio ina shida gan mpka achukue vits?
 
We chagua utalopenda, hakuna gari isiyo na matatizo.
 
Chief wewe huoni tofauti ?

hata kwa muonekano, gharama za ununuzi, ukubwa wa engine, etc

Au wewe unanunua sababu ya ushabiki na kuvimba kwa jamaa zako
Ukubwa wa engine zpo zote za kuanzia 1490cc
Gharama ya ununuzi hazijapishana sana
Muonekano ipo vzuri sana
 
Sema hakamwagi motoo mwingii highway kma li crown
Kaka ukimwaga moto uwe nazo mfukoni ...

ila kama hela za mawazo na una majukumu mipango na mambo mengine Ya muhimu.

Unachukua hata Suzuki carry unabebea na mizigo ukiwa unarudi kazini unasogezea cement site etc
 
Back
Top Bottom