Ipi gym nzuri DSM

Ipi gym nzuri DSM

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Posts
1,861
Reaction score
859
Wananyavu, gym gani nzuri hapo DSM?

Pamoja na mambo mengine mtaka taarifa anapenda kuzingatia suala la usalama, usafi na location.

Shukran kabla..
 
Ha ha ha mkuu mada ya vitambi imekugusa nin

Ni waZo tu lakin
 
Nenda gym ya colosium hotel oystabye sijuwi kama jimepatia spelling lakini nitakuwa but nitakuwa nimeleweka
 
mkuu njoo hapa "Daresalaam police academy" kuna gym classic, hutojuta kutoa pesa yako,
 
shamo tower mbezi au kibo complex...

Hamna kitu hapo.

Zote hizo nimeshawahi kwenda kuziangalia na sikuvutiwa kabisa.

Hapo Shamo niliwauliza wale ma personal trainers kuhusu flat bench wao wakawa wananionyesha decline bench.

Ufahamu wao ni mdogo sana na hata vifaa vyao viko limited.

Nadhani Dar nzima hakuna gym nzuri iliyokamilika.
 
Kuna gym mpya Ledger Plaza....unaifahamu?
 
Tutajie location yako ili tuweze kukushauri accordingly....
 
ukipiga chuma sana nguvu za 6 kwa 6 nazo zinapungua eti??

Ukipiga Chuma lazima ukaze mku.ndu
ukiwa unapiga Chuma kwa mda mrefu razima mku.ndu ukaze kwa muda mrefu mwisho wa siku mku.ndu unalegea na ukilegea tuu ushakosa nguvu
 
Kwa maeneo ya Ubungo na mwenge wapi kuna gym nzuri
 
Back
Top Bottom