Ipi hasara ya kukurupuka kuoa au kuolewa?

Ipi hasara ya kukurupuka kuoa au kuolewa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
 
Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
Hasara ni hizi
1. Kifo
2. Umaskini
3.mikosi
4.kuchanganyikiwa
5.kuzeeka kabla ya wakati.
 
Amani ya moyo ni muhimu, kila mtu ana mapungufu yake ila ktk mapungufu yake yasiwe ni yakukunyima amani .
 
Back
Top Bottom