Ipi historia ya kweli kuhusu Israel?

Wale ni wavamizi. Wamevamia nakuunda lile TAIFA 1946 wakati nabii IBRAHIM aliisha kufa karne kadhaa zilizopita.
 
Abraham hakupewa Israel,hajawahi kuwa muisrael,na amekufa akiwa hajawahi kusikia kitu kinaitwa Israel,ama uyahudi.
Sasa angeweza vipi kupewa kitu ambacho hakikuwepo?
THINK
 
1.Je baada ya maangamizi ya Jerusalem,tunaambiwa wayahudi walitawanyika kwenda nchi mbalimbali,Je walikwenda nchi gani/bara lipi.
2.Wayahudi hawa wa sasa,uko walipotoka ulaya walikuwa wanadumisha tamaduni,dini,lugha ya kiebrani/kiyahudi?,If not,je Lugha hii na dini hii wameitoa wapi,ni nani aliwafundisha?.
3.Biblia inasema kulikuwa na makabila 12 ya wana wa Israel na wote walijulikana kama wayahudi,Je walikuwa na Rangi moja wote?.
4.Je ni kweli Hittler aliua wayahudi?,kama hakuua wayahudi waliua watu gani na kwa nini?.Na kama ni wayahudi je walikuwa na Rangi gani?.
 
Abraham hakupewa Israel,hajawahi kuwa muisrael,na amekufa akiwa hajawahi kusikia kitu kinaitwa Israel,ama uyahudi.
Sasa angeweza vipi kupewa kitu ambacho hakikuwepo?
THINK
Kama hakupewa Israel alipewa nini?,Na je jina hili Israel lilianzia wapi,historia yake ni ipi?
 
n
aonamku umeamua kukazia swali ila kama umejibu kipande cha wao ni weusi ama weupe japo hujawa wazi
 
Kama hakupewa Israel alipewa nini?,Na je jina hili Israel lilianzia wapi,historia yake ni ipi?
Mbona ni kazi rahisi sana kupata jibu?,just anza kusoma habari ya Abraham,kwa makini,
Abraham aliambiwa nchi hii,nitawapa uzao wako,na watakuwa wengi kama mchanga.
Hiyo ni kwa ufupi,hakuambiwa nchi hii nitaupa uzao wako Israel,habari ya caanan kupewa Israel ilianza na Jacobo hata babake isaaka haijui.
Uzao wa Abraham ni mpana sana,na umeenea mpaka MTO frati,hadi Nile Kule.
Uzao wa Abraham ni wana wa wake wote watatu wa abraham
 
Waisrael halisi siyo hao tunao waona pale, waisrael halisi wamerudi utumwani! Bado ni watumwa kwa sababu walimwasi Mungu wao na hata kumuua masii aliyetumwa kwao.
 

Wanasema nchi ya ahadi inaanza mto nile hadi iraq. Naomba kufahamu iyo sehemu inayoyoitwa israel ipo ndani ya mto nile na iraq??
 
Nikurekebishe hapa,kulikuwa na makabila 12,lakini ni mawili tu ndo yalijulikana kama wayahudi,
Wayahudi walijitenga na Israel,baada ya mfalme wa kwanza wa Israel,aitwae Saul kufa,
Alichaguliwa mwanae kuwa mfalme,lakini alipinduliwa na Daud,ndo akawa mfalme,kukatokea civil war na migogoro iliyodumu mpaka Daud alipikufa na mwanae Solomon kutawala,lakini baada ya Solomon,waisrael waligoma kutawaliwa na mwana wa Solomon,wakatengana na kuwepo mfalme 2,Israel na yudah
 
n

aonamku umeamua kukazia swali ila kama umejibu kipande cha wao ni weusi ama weupe japo hujawa wazi
Hahaha.. Sidhani Kama nimejibu kuhusu rangi! Ila nimependa your instincts! Mapokeo ni mabaya sana!

Tunashindwa kuielewa historia ya juzi ya 1940s, ila tunataka kujiaminisha fallacy za miaka ngapi huko Sijui!

Yani role ya Jonathan na Moshe hapo Israel ya leo ndio tunaifananisha na kina Abraham na nchi ya ahadi. Kweli tusiojua tutaendelea kuwa kizani.
 
Kila mtu alipo alipakuta tu mkuu, hakuna mtu Duniani anaweza tamba hapo ni kwao.
 
Bila shaka wewe utakuwa professor uko detailed sana huachi kitu nyuma!! Labda tukiachana na mtazamo wa kidini mkuu je ni haki wayahudi wanavyowatreat wapalestina na kama ni sawa kosa lao ni nni hao palestina kwa Mungu hadi aruhusu wachinjwe hivyo

Na tukirudi kwa Joshua je ni kwanni Mungu aliamuru aue wacanaan wote?? Kosa lao ni lipi mkuu kiasi hadi vitoto vichanga vilichinjwa??

Kingine kibiblia nchi ya ahadi inaanzia misri hadi iraq je kwanni wayahudi hawaendi kuidai misri na iraq ila wamegandia israel pekee??

Ubarikiwe mkuu
 

1.Baada ya maangamizi ya mji wa Yerusalem na miji mingine wayahudi baadhi yao walichukuliwa utumwani na kuuzwa kama watumwa duniani koote,na wengine waliofanikiwa kutoroka walitawanyika kila mahali pa dunia hii wengi wao walikimbilia Afrika kwa mujibu wa historia na kumbukumbu za kale

2.Hawa wa sasa sio wayahudi bali ni watu waliobadirisha dini na kutumia dini,lugha na tamaduni za kiyahudi kwa miaka mingi sana ya nyuma mababu zao walifanya hivyo,kwanini wanasema hawa ni fake sababu hawaendani na wayahudi wa kwenye biblia na pia hawaendani na maandiko,ni kama kulivyo na waswahili ambao wanafuata dini ya kiislamu,na wanazungumza lugha ya kiarabu vizuri na wanafuata mila za kiarabu haiwafanyi kuwa waarabu!

3.Nikweli biblia anasema kulikuwa na kabila 12 za wana wa israel unapokosea ni hapo unaposema woote walijulikana kama wayahudi!Wana wa israeli na Wayahudi ni vitu viwili tofauti!,Kuanzia kwa utawala wa Suleman kushuka chini kulikuwa na taifa moja la Israeli lenye kabila 12,baada ya kifo cha Sulemani taifa la israel liligawanyika mara mbili
>kabila 10 za kaskazini zilijitenga zikaunda taifa lao ambalo lilibaki na jina israel na mji wake mkuu ukawa unaitwa Samaria na lilikuwa linatawaliwa na wafalme ambao hawakuwa wanafuata sheria ya Musa ndiomaana habari zao hazitajwi kabisa kwenye biblia na kama unasoma biblia ndio kile kisa cha Yesu na yule mwanamke wa msamaria pale kisimani (Yohana 4:7-29) aligoma kumpa maji Yesu sababu ya ugomvi waliokuwa nao wayahudi na wasamaria kwahiyo walikuwa hawachangamani!
>Kabila mbili zilizobaki za kusini (Benjamin na Yuda) zikaunda taifa lao ambalo lilikuwa linaitwa Yudea(Judea) na mji wao mkuu ulikuwa unaitwa Yerusalemu,sasa ndio hapa kuanzia kwenye kitabu cha 2Wafalme 16:1-6 hawa watu wa yudea wakawa wanaitwa "WAYAHUDI" JEWS kwa kiingeleza! hadi Yesu anakuja amekuta kuna haya mataifa mawili taifa la kaskazini na kusini na Yesu alihubiri injili koote japo hawakuipokea,na Yesu alitokea kwenye taifa la Judea alikuwa wa kabila la Yuda
Kuhusu Rangi yao hao wayahudi,biblia haisemi wazi wazi japo kuna baadhi ya manabii wa kabila la Yuda kama Sulemani kajitaja kuwa yeye ni mweusi ana ngozi nyeusi,inaaminika kabila la Yuda walikuwa weusi,makabila mengine hayatajwi yalikuwa ya rangi gani.ila kwa historia hakukuwa na watu weupe middle east watu weupe asili yao ni ulaya na Asia ya mshariki,kwa mazingira ya mashariki ya kati haishabihiani na ngozi ya watu weupe,wazungu kutokana na kuwa na joto kali

4.Kuhusu Hitler kuua watu wanaojiita wayahudi ni swali la kihistoria na ambalo mpaka leo halijapatiwa majibu sahihi,Nikweli hitler aliua watu mbali mbali na wa jamii mbali mbali sasa wengine walishaomboleza wakakaa kimya wamebaki hao wanaojiita wayahudi tu pekee yao wanalialia kuwa hitler aliwaua milioni 6,embu fanya mwenyewe reserch kwenye mitandao hasa Youtube msome na msikilize mwana historia maarufu sana wa uingereza anaitwa David Irving ni miongoni mwa watu waliotumia muda wao hapa duniani kwa kuchunguza ukweli kuhusu HOLOCOUST halafu wakagundua haikutokea!wapo watu wengi sana wameandika kuhusu hilo nadhani kupitia David Irving utajua mengi kuhusu hilo swala
 
Abraham hakupewa Israel,hajawahi kuwa muisrael,na amekufa akiwa hajawahi kusikia kitu kinaitwa Israel,ama uyahudi.
Sasa angeweza vipi kupewa kitu ambacho hakikuwepo?
THINK
Unaangalia Israel ya 2018. Umesahau Israel kama jina lilianza Mwa 33. Jina hili alipewa Yakobo mjukuu wa Ibrahimu kwa Isaka mwanawe wa pekee kwa Sarah. Unahitaji kusoma Historia ya Israel ndipo tutaelewana.
 
N
Nashukuru Zitto Junior kwa heshima ulionipa. Nimeingia tu nyumbani nikitulia nitajaribu kujibu maswali yako mazuri.
 
Unaangalia Israel ya 2018. Umesahau Israel kama jina lilianza Mwa 33. Jina hili alipewa Yakobo mjukuu wa Ibrahimu kwa Isaka mwanawe wa pekee kwa Sarah. Unahitaji kusoma Historia ya Israel ndipo tutaelewana.
Mimi naongea from historically standing point,Abraham hafahamu chochote kuhusu Israel,bado tu sijaconfirm kama Isaac nae alikuwa bado hai kipindi Jacob anaitwa Israel au nae hana idea Israel ni nini.
Uhakika nilionao,hadi Isaac anakufa,family yake ilikuwa ni family tu,na wala so watawala wa eneo hilo
 
Ukitaka kuelimika uwe *objective" zaidi ya kuwa "subjective." Sasa tukuambie ile haikuwa familia tu. Ibrahimu mi baba wa Taifa la Israel. Yakobo ambaye ndie Israeli mwenyewe ni mjukuu wa Ibrahimu. Mungu alimpomtokea Musa (Kutoka 3) alijitambulisha kwa majina hayo "Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo." Hiyo ndiyo "Link" tunayotumia humu. MUNGU ndiye aliyesema Ibrahimu atakuwa taifa kubwa "Mwa 22". Sio sisi. Historia ya Israel nje na ndani ya Biblia imedhihirisha hilo. Msikilize sana Netanyahu anapozungumza. Hakosi kuwataja mababa wa Israel hao watatu. Humtaja hata Daudi. Hujivunia link hiyo ya kihistoria.

FOOTNOTE: Kuwa "objective" maana yake upo tayari kusikiliza na kuelewa wanachosema wengine. Unajenga hoja juu ya vyanzo vingi vilivyopo. Mtu "subjective" ni kinyume chake. Chanzo kikuu ni mawazo yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…