Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Asalaaam aleikum,ipi hukumu ya kuchukua mikopo ya riba? Wakuu naombeni msaada aisee wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje,hukumu Tena?!Asalaaam aleikum,ipi hukumu ya kuchukua mikopo ya riba? Wakuu naombeni msaada aisee wakuu
Waleykum salaam, ila Shekh huku ulipokuja uliza hilo swali siko kabisa robo tatu ya watu wa humu akili zao zilisha haribika bora hata unge googleAsalaaam aleikum,ipi hukumu ya kuchukua mikopo ya riba? Wakuu naombeni msaada aisee wakuu
Dhambi la riba ni miongoni mwa Madhambi Makuu. Dhambi hili limeelezwa vyema kabisa katika riwaya na Ahadith za Mtume Muhammad s.a.w.w., Al-Imam ‘Ali ibn Abi Talib a.s., Al-Imam Ja’afer as-Sadiq a.s., Al-Imam Musa al-Kadhim a.s. na Al-Imam Muhammad at-Taqi a.s.Asalaaam aleikum,ipi hukumu ya kuchukua mikopo ya riba? Wakuu naombeni msaada aisee wakuu