Alijua utatuletea mrejesho wa show ๐๐๐Ntaileta, humo ndani jf users tumepondwa sana.
Hii aibu inakupunguzia nini kwenye maisha yako ya ufukara?Da aibu mwanaume kujiita mama
Pole sana njoo kwangu nikujazie gas mkuuNiliishiwa kodi, gas, simu ikavunjika kioo na nlitaka kusuka pia, eti kumuomba hela akanipiga chini.....
Pole sana ๐๐๐Mchumba ake mwingne, akamshinikiza aniache mie.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Utagongwa wewe fala unajiita mamaHii aibu inakupunguzia nini kwenye maisha yako ya ufukara?
Wee em sema kweli?Pole sana Cocastic. Finish to kiss those frogs kisha tuoane.
๐ hapana mkuuAlijua utatuletea mrejesho wa show ๐๐๐
Ahsanteee nishapoaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uongo haujapoa bado ๐Ahsanteee nishapoaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mwenyewe gas tupu ๐นPole sana njoo kwangu nikujazie gas mkuu
Basi nikulipie pango, au njoo ujihifadhi kwangu kwa mudaWe mwenyewe gas tupu ๐น
Ntumie nauli nakujaBasi nikulipie pango, au njoo ujihifadhi kwangu kwa muda
Taja namba chapNtumie nauli nakuja
Weeh nawe mpana khaaa!! ๐นAlikudanganya nini?
Tena mimi sigeuki nyuma mwendo wa ngiriKwenye mapenz mtu akikudanganya, hasa kwenye mambo ya msingi hua ngumu sana kumuamini, na best option kwa wengi hua ni kujiweka kando.
Ila umbea wa wenzenu mnapenda ๐คฃWeeh nawe mpana khaaa!! ๐น