Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa price point ya 350k kushuka hakuna simu yoyote inayokaribia redmi 10C.Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo
Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16
Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma...
Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
Nashukuru kumbe nashindanisha 10c na simu ndogo .Kwa price point ya 350k kushuka hakuna simu yoyote inayokaribia redmi 10C.
Highlight ya hio simu ni snapdragon 680 ambayo ni soc nzuri sana kwa hio bei, na storage za ufs ambazo hutumika kwenye simu za Bei ghali.
Pia ukitumia Gcam camera ni nzuri, main camera ni sawa na wakubwa wake kama Redmi note 11,
Weakness kubwa ni display yake ni HD kawaida yaani 720p, wakati redmi 9 ilikuwa 1080p yaani FHD.
Kama unaweza ishi na kioo cha kawaida ni simu nzuri sana. Competition kwa simu kama hii wanauza laki 4 kupanda, mfano Samsung A23.
Nimeona Bora nipande mkuu nilipata note 11 4Gb/128 Kwa 480Kwa price point ya 350k kushuka hakuna simu yoyote inayokaribia redmi 10C.
Highlight ya hio simu ni snapdragon 680 ambayo ni soc nzuri sana kwa hio bei, na storage za ufs ambazo hutumika kwenye simu za Bei ghali.
Pia ukitumia Gcam camera ni nzuri, main camera ni sawa na wakubwa wake kama Redmi note 11,
Weakness kubwa ni display yake ni HD kawaida yaani 720p, wakati redmi 9 ilikuwa 1080p yaani FHD.
Kama unaweza ishi na kioo cha kawaida ni simu nzuri sana. Competition kwa simu kama hii wanauza laki 4 kupanda, mfano Samsung A23.
Bei si mbaya mkuu, kama unaipata hapa kwetu, maana Note 11 inasolve tatizo kubwa la Redmi 10C, display yake ni Full HD pia ni Amoled.Nimeona Bora nipande mkuu nilipata note 11 4Gb/128 Kwa 480
Chief-Mkwawa
Nimeona tigo wanauza 520k, wewe ulipata wapi kwa hiyo 480k?Nimeona Bora nipande mkuu nilipata note 11 4Gb/128 Kwa 480
Chief-Mkwawa
Tigo niliwahi kwenda ambayo inauzwa hio bei ni 6GB ram na 128GB storage. Walikuwa hawana 4GB na 128GB na 4GB kwa 64GB. Wakizileta hizi bei itashuka sana.Nimeona tigo wanauza 520k, wewe ulipata wapi kwa hiyo 480k?
64/4GB ram ipo? Nayo kiasi gani?Bei ilikuwa 500 ila kuna Offa ya 77 zikashuka
Umetumia kigezo gani ku compare hizo simu mbiliSimu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo
Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16
Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma...
Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake